Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Kama viongozi uliowateua, timu uliyoongoza na wale uliowasajili kutoka upande wa pili wanakataliwa kwa nguvu hivi ndani na nje ya chama chako - unafikiri wewe unakubalika? Ukiona mtoto wako kipenzi anazomewa na kudhihakiwa ujue na wewe unasubiriwa siku yako ifike!

#ChangeTanzania
 
Yaani humpendi tu au siyo?!!!.Ukisikia roho mbaya basi ndo hii.
Simpendi makondakta aaaaaah kwan tsh ngapi bhanaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndani ya 24hrs thread zisizopungua 20 za kumuhusu Makonda[emoji23]na bado kuna member wengine zaidi ya 20 wanaandaa thread mpya[emoji23].
Huyu Makonda anakitugani cha kutisha?

Marehemu kadhaa waliotangulia mbele ya Haki kwa Kulazimishwa, ila siyo kwa Mapenzi yake Mwenyezi Mungu wanaweza kuwa na Majibu yote.
 
Kuna taarifa kuwa Ndungulile atapozwa na ahadi ya kupewa kazi nyingine ili ampishe huyo mtu agombee

Na hapo ndipo CCM Kigamboni itakuwa imeshamhalalisha Mgombe wa Upinzani Kushinda Ubunge na hata Mimi nitampigia pia Kura yangu hasa.
 
Makonda ana mapungufu yake mengi ni kweli hata mimi simkubali. Lakini wengi wanaongozwa na chuki na wivu. Ukizingatia wanajua jamaa hajasoma na ana zero.

Wanamuona anabebwa bebwa wakati wao wanasota.
 
Mimi CCM naishi Kigamboni hicho kikao cha wana CCm kilichokutuma kilikaa wapi mumbeya mkubwa wewe.Weka miniti za kikao hapa na waliohudhuria na kilikuwa chini ya uenyekiti wa nani.Umejaa uongo na uzushi

Jitu zima hovyo kabisa wewe.JITU ZIMA KAZI KUTUNGA UONGO
 
Kama viongozi uliowateua, timu uliyoongoza na wale uliowasajili kutoka upande wa pili wanakataliwa kwa nguvu hivi ndani na nje ya chama chako - unafikiri wewe unakubalika? Ukiona mtoto wako kipenzi anazomewa na kudhihakiwa ujue na wewe unasubiriwa siku yako ifike!

#ChangeTanzania
Huku ni kujidanganya. Si alipigiwa kura na wajumbe wa chama chake huyo unayemzungumzia?
 
" GENTAMYCINE Sisi wana CCM hapa Kigamboni tulikwazika sana hasa na Kitendo cha Mtu ambaye Kwanza hakai nasi huku Kigamboni kuja Kugombea na tena Kilichotuuma zaidi ni Yeye kuja huku wakati akijua kabisa kuwa Kipenzi chetu wana CCM Kigamboni Daktari Faustine Ndugulile yupo, ametufanyia makubwa na hakuna Kosa lolote alilotufanyia. Jana tumetoa Meseji kwa walio huko Juu, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE kuna Tetesi tumeanza Kuzisikia tu kuanzia jana Usiku baada ya Matokeo kuwa kuna Mtu atalazimishwa ndiyo agombee kwakuwa tu anapendwa na sijui ili Kumlinda asije akaharibu zaidi. Sasa tunakutuma ukawaambie kuwa wakimpitisha tu huyo Mtu Wao wana CCM Kigamboni tutampigia Kura Mgombea wa Upinzani au Kumtaka Dokta Ndugulile ahamie huko tumpigie, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE hivi Mtu amepitwa kwa Kura 68 leo hii utalazimishaje ndiyo aje kuwa Mgombea Wetu? Kwahiyo wanataka kusema kuwa hao wana CCM 68 hawana Akili au hawaujui Umuhimu wa Mbunge wetu Kipenzi na aliyemaliza muda wake Dokta Faustine Ndugulile? Tunamuomba kwa Heshima na Taadhima kabisa huyo mwenye Chuki zake na Dokta Ndugulile ayamalize nae ili CCM Kigamboni isonge na akilazimisha tu yale yaliyotokea Kawe 2015 yatahamia huku, " wamesema wana CCM Kigamboni.

" GENTAMYCINE mwisho kabisa tunakutuma ukawaambie hao wana CCM wako Makao Makuu huko Dodoma ukienda kwamba tuna hadi Namba za Simu kama Ushahidi za Watu waliokuwa wakitumiwa Kugawa Pesa kwa Wajumbe wakiutaka watualike katika Kikao chao tuwape. Dokta Ndugulile anatutosha sana Kigamboni na ni Mzawa halisia sasa walazimishe wauone Moto wetu wana CCM Kigamboni, " wamesema wana CCM Kigamboni.

Baada ya GENTAMYCINE kutoka zangu Kigamboni sasa naelekea Jimboni Kawe ili Kamati ile ile ya Roho Mbaya Leo pia imlime Mla Kondoo nae.
Gentamycine katika hali hiyo Magufuli ameshinda kwani alimuonya toto pendwa kuwa bado ananyonya siasa za mashindano bado muda wake.
Masikini Makonda hakujua kuwa Dar-es-salaam ni jiji la wanafiki,walikuwa wanamsukuma agombee bila yeye kujitathmini.
 
I am not a gay! Wewe unakaa chini unaleta story kama hizi wakati unajua ni uongo na uzushi. Toa reference ya walio kwambia. Who pays you to spin?
HUYO ni mtu mzima hovyo mhurumie akili zake kwa sasa haziko vizuri anapitia changamoto kali sana kimaisha Mungu tu amsaidie
 
Back
Top Bottom