Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Hata kama hazitafika mahali yakaisha hayo madhambi, basi angalau yapunguzwe madhara hayo "to the minimum"
Lkn sasa hv ametulia na pia hayo anayafanya unadhani ni yy au kuna mtu anansimamia yaan mm imeniuma kukosa kweli
 
uzuri hata Magu akimbeba tena kwa mara nyingine ujumbe atakuwa keshaupata...hilo tu linatutosha!.
Magu hawezi kumbeba alimsaliti kwa kuacha ukuu wa mkoa kipindi hiki cha kampeni bashite ndio kapotea
 
Hongereni sana wajumbe wa CCM Kigamboni, jana mmetupa raha isiyo na kifani. Congratulations wajumbe
 
Kama una akili sawasawa basi huenda ukanda au ukabila ndio unakutafuna!
 
😀😀😀😀
 
Wana wanywe bia, wacha wana wanywe bia.... mupe mupee yule muruke.
 
Ndungulile ametisha [emoji114][emoji114][emoji119][emoji119]

Heshima kwako kaka!

Watoto wa mjini ni noma aisee ?!
 
Tanzania nzima?Acha uongo huku kwetu hawamfahamu mbona
 
Mkuu, usitake kutufanya sisi wote hatuna akili za kuchanganua mambo..kwamba tunabebwa na upepo wa mitandao inayotumika na baadhi ya watu kwa maslahi yao. Huyo bwana kavuna alichopanda, period!
 
Wala sio kampeni meneja wala sipendelei mtu. Ila nazungumzia utaratibu wa kupata jina moja bado unaendelea. Na haijulikaani nani atapitishwa huko mbele mbona nyie mnaanza kufurahia upuuzi na Makonda ameingia kwenye mchujo wa majina matatu.
Yaani hata asipotishwa huku mbele furaha ya jana haina kifani ,wajumbe hatukumpa kura za kutosha.Tunajua anaweza kupitishwa na kikao vinavyofuata haijalishi Kerry yaani nipo hapa naimba."Tumeuona mkono wako Baba ........."Haaaaa
 
Yaani hata asipotishwa huku mbele furaha ya jana haina kifani ,wajumbe hatukumpa kura za kutosha.Tunajua anaweza kupitishwa na kikao vinavyofuata haijalishi Kerry yaani nipo hapa naimba."Tumeuona mkono wako Baba ........."Haaaaa
Kata miuno kabisa.
 
Asiye sikia la mkuu huvunjika guu.Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu.Ulimwengu umemfundisha mtoto pendwa jinsi ya kuishi na watu.
 
huo utafiti umefanya wapi mbona huku kwetu kigamboni kibada watu hawashangilii na wanasema huyu mbunge wa sasa hajafanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…