christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Mkuu amini usiamini ila ujue ni vigimu sana kwa mtia nia mpya kumshinda mtiania ambaye ni mbunge mstafu kupitia kura za wajumbe hata kama wananchi hawamtaki labda mbunge huyo mstaafu awe alitokea upinzani.Ni kweli alukuwa na uthubutu. Kama aluweza kumtandika kibao Mzee Warioba nn angeshindwa?
Kilichopelekea Watu kufurahishwa kwa kuangushwa kwake ni kile kiburi chake juu ya Viongozi wengine kutokana na Mamlaka za Teuzi. Makonda kabebwa sana na Mamlaka za Teuzi hali iliyompelekea yeye kujiona ni bora kuliko wengine.