Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Ni kweli alukuwa na uthubutu. Kama aluweza kumtandika kibao Mzee Warioba nn angeshindwa?

Kilichopelekea Watu kufurahishwa kwa kuangushwa kwake ni kile kiburi chake juu ya Viongozi wengine kutokana na Mamlaka za Teuzi. Makonda kabebwa sana na Mamlaka za Teuzi hali iliyompelekea yeye kujiona ni bora kuliko wengine.
Mkuu amini usiamini ila ujue ni vigimu sana kwa mtia nia mpya kumshinda mtiania ambaye ni mbunge mstafu kupitia kura za wajumbe hata kama wananchi hawamtaki labda mbunge huyo mstaafu awe alitokea upinzani.
 
Wabongo si mnaongoza kwa roho mbaya,mtashindwaje kushangilia kuanguka kwa wengine?

Tofauti na wengine ni kwamba Makonda ndiye mgombea kijana aliyekuwa maarufu kuliko wote ndo maana kawa talk of the town lakini hata akina Kimei,Nasari,Mwanri kuna watu wanakenua.
 
Yaaan furaha haielezeki niliyonayo, tangu nmezaliwa sijawahi hata kunywa soda maan nna allergy na vinywaji vya viwandani,
Lakini leo nimedufua heinken nzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
jamani sijui wajumbe wa CCM kigamboni niwape zawadi gani wallah
Unafurahi kwa muda, huyo Sasa ndie atakayeleperusha bendera ya CCM kigamboni, aliyeshinda maoni si alitumbuliaa kwa ukosefu wa nidhamu kwa kumkosoa mkuu. Hapenyi popote Wala....
 
Tuishi vizuri na watu...

Tuache majivuno....

Tusiwatese na kuwaonea wasio na uwezo...

Tutende haki.....

Dunia hii tunapita tu......[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Haki haiwezi kupatikana duniani
Majivuno hayawezi kuisha duniani
Uonevu hauwezi kuisha duniani
Na siku itakapofikia hayo mambo yatakapotendeka itakuwa mwisho wa dunia nimesikitika kukatwa kwa makonda ni mchapa kazi
 
Pompeo alishamaliza kazi " Bashite ananyima watu haki ya kuishi' ( YAAANI NI MUUWAJI) Over and out
Hakika hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya Waziri huyo wa mambo ya nje wa nchi ya Marekani.
 
Haki haiwezi kupatikana duniani
Majivuno hayawezi kuisha duniani
Uonevu hauwezi kuisha duniani
Na siku itakapofikia hayo mambo yatakapotendeka itakuwa mwisho wa dunia nimesikitika kukatwa kwa makonda ni mchapa kazi
Hata kama hazitafika mahali yakaisha hayo madhambi, basi angalau yapunguzwe madhara hayo "to the minimum"
 
Kwa ufupi tu, utamaduni wa uongozi uliojengwa na CCM yenyewe ni unyenyekevu. Kijana msamiati wa unyenyekevu kwenye kichwa chake hakuna. Alilewa sana madaraka, na Watanzania hawapendi, ndio wamemwonyesha sasa.

Na hata kama atarudishwa, imeshaingia kwenye historia, alipigwa chini Kigamboni
 
Alikukosea nini Msukuma wa watu yule??.
Hata sijui niseme vipi, ila baaas Jah kasikia Maombi yangu. Km atabebwa shauri yake yey na uncle, ila wajumbe wameonesha uhalisia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unafurahi kwa muda, huyo Sasa ndie atakayeleperusha bendera ya CCM kigamboni, aliyeshinda maoni si alitumbuliaa kwa ukosefu wa nidhamu kwa kumkosoa mkuu. Hapenyi popote Wala....
Hata km akibebwa na baba yake, haitashangaza kamweeeh ila tumewaonesha uhalisia kuwa makonda [emoji1241] nzima hapendwi.
 
Wana kigamboni wametuma meseji na mwerevu ataielewa na kama uchaguzi utakuwa wa haki bila figisu basi Makonda ajiandae kisaikolojia kuwa mbunge wa kuteuliwa na mkuu.

Ina maana yale mazuri yake yote yamezidiwa na ubaya, ubabe kumbuka enzi anavamia Studio za Clouds kapelekea mpaka Nape kutumbuliwa na frustration nyingi baada ya kumuandama sana marehemu Jasiri Ruge nadhani pia lilichangia kumuongezea ugonjwa hili. Mungu huwa analipa instantly wala hasubiri na wala hachelewi.

On National TV imeeleweka wazi kwamba wananchi wamemchoka Mh Makonda, TBC wamevunga kuchelewa kutangaza matokeo ya Kigamboni lakini mtandaoni mpaka millard kashaandika Dr Ndugulile kaongoza. Kila zama na kitabu chake chakwao kinaelekea ukingoni wajiandae.

Sent from my SM-T825 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom