DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Simpendi makondakta aaaaaah kwan tsh ngapi bhanaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani humpendi tu au siyo?!!!.Ukisikia roho mbaya basi ndo hii.
Hhahaha GENTAMYCINE unashida gani na hii nchi? Nenda kwenu Rwanda basi.
Utauwa watu na pressure bure.
Ndani ya 24hrs thread zisizopungua 20 za kumuhusu Makonda[emoji23]na bado kuna member wengine zaidi ya 20 wanaandaa thread mpya[emoji23].
Huyu Makonda anakitugani cha kutisha?
Kuna taarifa kuwa Ndungulile atapozwa na ahadi ya kupewa kazi nyingine ili ampishe huyo mtu agombee
I am not a gay! Wewe unakaa chini unaleta story kama hizi wakati unajua ni uongo na uzushi. Toa reference ya walio kwambia. Who pays you to spin?Kwani Kazi ambayo ' aliyekuzaa ' amenipa ya Kumsaidia Babaako Majukumu yake ya ' Kibaiolojia ' hainisaidii? Mbona ananilipa Pesa ndefu sana?
Huku ni kujidanganya. Si alipigiwa kura na wajumbe wa chama chake huyo unayemzungumzia?Kama viongozi uliowateua, timu uliyoongoza na wale uliowasajili kutoka upande wa pili wanakataliwa kwa nguvu hivi ndani na nje ya chama chako - unafikiri wewe unakubalika? Ukiona mtoto wako kipenzi anazomewa na kudhihakiwa ujue na wewe unasubiriwa siku yako ifike!
#ChangeTanzania
Gentamycine katika hali hiyo Magufuli ameshinda kwani alimuonya toto pendwa kuwa bado ananyonya siasa za mashindano bado muda wake." GENTAMYCINE Sisi wana CCM hapa Kigamboni tulikwazika sana hasa na Kitendo cha Mtu ambaye Kwanza hakai nasi huku Kigamboni kuja Kugombea na tena Kilichotuuma zaidi ni Yeye kuja huku wakati akijua kabisa kuwa Kipenzi chetu wana CCM Kigamboni Daktari Faustine Ndugulile yupo, ametufanyia makubwa na hakuna Kosa lolote alilotufanyia. Jana tumetoa Meseji kwa walio huko Juu, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE kuna Tetesi tumeanza Kuzisikia tu kuanzia jana Usiku baada ya Matokeo kuwa kuna Mtu atalazimishwa ndiyo agombee kwakuwa tu anapendwa na sijui ili Kumlinda asije akaharibu zaidi. Sasa tunakutuma ukawaambie kuwa wakimpitisha tu huyo Mtu Wao wana CCM Kigamboni tutampigia Kura Mgombea wa Upinzani au Kumtaka Dokta Ndugulile ahamie huko tumpigie, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE hivi Mtu amepitwa kwa Kura 68 leo hii utalazimishaje ndiyo aje kuwa Mgombea Wetu? Kwahiyo wanataka kusema kuwa hao wana CCM 68 hawana Akili au hawaujui Umuhimu wa Mbunge wetu Kipenzi na aliyemaliza muda wake Dokta Faustine Ndugulile? Tunamuomba kwa Heshima na Taadhima kabisa huyo mwenye Chuki zake na Dokta Ndugulile ayamalize nae ili CCM Kigamboni isonge na akilazimisha tu yale yaliyotokea Kawe 2015 yatahamia huku, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE mwisho kabisa tunakutuma ukawaambie hao wana CCM wako Makao Makuu huko Dodoma ukienda kwamba tuna hadi Namba za Simu kama Ushahidi za Watu waliokuwa wakitumiwa Kugawa Pesa kwa Wajumbe wakiutaka watualike katika Kikao chao tuwape. Dokta Ndugulile anatutosha sana Kigamboni na ni Mzawa halisia sasa walazimishe wauone Moto wetu wana CCM Kigamboni, " wamesema wana CCM Kigamboni.
Baada ya GENTAMYCINE kutoka zangu Kigamboni sasa naelekea Jimboni Kawe ili Kamati ile ile ya Roho Mbaya Leo pia imlime Mla Kondoo nae.
Hahah .kakae pale Boarder ya Rusumo, itapendeza sana.
50% ni Mtanzania na 50% ni Mnyarwanda tatizo liko wapi Mkuu? Nataka Tanzania iwe kama Rwanda ya Watu Makini na wenye Malengo Chanya.
HUYO ni mtu mzima hovyo mhurumie akili zake kwa sasa haziko vizuri anapitia changamoto kali sana kimaisha Mungu tu amsaidieI am not a gay! Wewe unakaa chini unaleta story kama hizi wakati unajua ni uongo na uzushi. Toa reference ya walio kwambia. Who pays you to spin?
I am not a gay! Wewe unakaa chini unaleta story kama hizi wakati unajua ni uongo na uzushi. Toa reference ya walio kwambia. Who pays you to spin?