Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?


Mtakuwa mmefurahia kupitishwa kwa ndugulile aliyetaka tufe kwa covid-19 ili nyie chadema mpate pakusemea.

Makonda kiboko yenu ndiye anayerudi.
 
Hakuna anaemchukia Makonda ila matendo yake ndio yanafuatana nae!! Iliwahi kunenwa kila mtu anavuna alichopanda ukipanda wema utavuna wema ukipanda ubaya utavuna ubaya sasa mlitegemea makonda avune sema wakati alipanda mbegu ya ubaya?

Good news Ni kwamba God is nowadays balancing equation on earth mbinguni Ni hesabu tu hapa duniani matendo yako ndio yatakuhukumu
 

Kwa IQ yangu kubwa iliyobarikiwa hasa na Mungu na Kutukuka kabisa GENTAMYCINE sina Hadhi ya Kukutana na Wewe mwana CCM uliye Juha.
 
Nimetoka kapa, aliyeelewa anifahamishe. Kiingereza sikijui kiviiile [emoji44][emoji44]
 

MUNGU ibariki Tanzania!
Uchambuzi makini, hongera. Napigilia msumari usahihi huo kwamba kama kinyang'anyiro cha aina hiyo kingekua ni kura ya maoni nafasi flani ya kitaifa basi TAKWIMU zingethibitisha hilo. BUT, kwa wingi wa watu (sampling ya mamilioni) angeambulia SUFURI. Hata kwa tindikali hasafishiki. Dadeq!🤓
 
Gentamycine katika hali hiyo Magufuli ameshinda kwani alimuonya toto pendwa kuwa bado ananyonya siasa za mashindano bado muda wake.
Masikini Makonda hakujua kuwa Dar-es-salaam ni jiji la wanafiki,walikuwa wanamsukuma agombee bila yeye kujitathmini.

Mkuu Akili za Makonda ni za ' hovyo hovyo ' na inawezekana akawa anazidiwa ' Kiupumbavu ' sana tu na Interested Observer na YEHODAYA.
 
Koffi Yardley
Thank you for your appreciation 👍
 
Mkuu, usitake kutufanya sisi wote hatuna akili za kuchanganua mambo..kwamba tunabebwa na upepo wa mitandao inayotumika na baadhi ya watu kwa maslahi yao. Huyo bwana kavuna alichopanda, period!
Samahani mkuu sijasema kwamba hamna akili naheshimu sana mawazo ya watu na wewe yakupasa hueshimu yangu, binafsi sioni makosa ya Makonda ambayo husababisha jamii kumchukia na wala jamii haimchukii Makonda kama baadhi ya watu wanavyojaribu kutuaminisha naamini kwa kazi alilizozifanya Makonda anaweza shinda jimbo lolote la Dar ikiwa kura zitapigwa na wananchi wa kawaida.

Mimi na tabia ya kumpima mtu kwa kazi zake sio majungu au prejudice. Tangu Makonda ameingia madarakani madawa ya kulevya yameisha Dar kam sio kupungua, wako wapi panya road, vipi kuhusu usafi wa jiji, vipi kuhusu kipindupindu Dar kipo tena? Sasa unaanzaje kumchukia mtu huyu?
 
Mtakuwa mmefurahia kupitishwa kwa ndugulile aliyetaka tufe kwa covid-19 ili nyie chadema mpate pakusemea.

Makonda kiboko yenu ndiye anayerudi.

Makonda wenu ' Keshamalizwa ' na sasa hana chake tena nchini. Na mwambie Yussuf Mehboob Manji sasa anajipanga ' Kumuanika ' ili aumbuke.
 
Hakika uchawi hauvuki maji, yaani jamaa zile ndumba zake za kolomije alizomtengeneza mwenyekiti zimeshindwa kufanya kazi jana kwa wajumbe
 
Hivi si ni Mpumbavu Wewe umesema hapo kuwa nitafute Kazi ya Kunilipa? Sasa mbona tena Unauliza nani ananilipa? Mama yako ndiyo ananilipa.
Mbona wanaCCM tumekaa wengi tu kumtuma GENTAMYCINE. Hata mimi nilikuwa kwenye kikao hicho. Kwa kuwa YEHODAYA hukuhudhuria inaelekea ulikuwa kwenye maombolezo na Bashite wako. Pole sana. Hakuna cha huruma hapa!
 
Unaanza kulaumu kwa dhana tu, nani kakuambia Ndugulile atakatwa? Mbona Mwenyekiti Magufuli kesha sema maamuzi ya wanachama yataheshimiwa ili mradi aliyeshinda kashinda kihalali.
 
Simpendi makondakta aaaaaah kwan tsh ngapi bhanaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa!!!,lkn amekukosea nini sasa??.
 
GENTA bwana haeleweki, Niko Kigamboni toka asubuhi natafuta penye supu ya mbuzi ya bure toka kwa GENTA naambulia patupu mpaka nimekata tamaa

Niko njiani Mkuu nakuja nao hawa Mbuzi 25 sema tu kuna Bonge la Cheni / Nyororo hapa Buguruni TAZARA kwani napitia hiyo njia na Lori langu.
 
Kamata huyo TCRA na Takukuru atueleze kikao chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…