Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Meza bila miguu sio meza, ukimuona baba umeniona mimiHilo lina kaukweli fulani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meza bila miguu sio meza, ukimuona baba umeniona mimiHilo lina kaukweli fulani!
Meza bila miguu sio meza, ukimuona baba umeniona mimiHilo lina kaukweli fulani!
Lina ukweli,Ila ni Hadi ashinde October,siasa ni upepo sio hesabu chochote chaweza tokea.UTABIRI: Makonda anaandaliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma ili kuongeza kasi ya ujenzi wa mji huo. Hii yote ni kutokana na uwezo wake wa kusimamia mambo kwa kasi kwa kuwa Magufuli ana hamu ya kuona kwamba kabla hajondoka madarakani Dodoma inakuwa na sura halisi ya makao makuu ya nchi. Jambo ambalo litamjengea historia kubwa.
Kutumia Kodi zetu kwenda kupendezesha dodoma then kusiwe na tija kiuchumi na kuacha vipaumbele muhimu vya kuchochea uchumi lengo tu ni kutafuta kukumbukwa ni matumizi mabaya ya Kodi zetu ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana.UTABIRI: Makonda anaandaliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma ili kuongeza kasi ya ujenzi wa mji huo. Hii yote ni kutokana na uwezo wake wa kusimamia mambo kwa kasi kwa kuwa Magufuli ana hamu ya kuona kwamba kabla hajondoka madarakani Dodoma inakuwa na sura halisi ya makao makuu ya nchi. Jambo ambalo litamjengea historia kubwa.
Wengi wanamchukia Makonda kwa sababu ya wivu tu. Makonda sio lazima awe Mbunge hiyo ndio ilikuwa nia yake lakini Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema amependezwa zaidi afanye kazi nyingine. Ukiona nchi kubwa kama USA inadiriki kumpiga marufuku kwenda USA ati kwa sababu amekataa ushoga kuenea kwenye mkoa wa dar Es Salaam au madawa ya kulevya aliweza kupambana nayo lazima ufahamu kwamba alitimiza wajibu wake kuendeleza gurudumu la kuendeleza imani na tamaduni zetu. Makonda hawezi kukata tamaa atafanya kazi nyingine kama Mtanzania yoyote yule.Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima
Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini?
Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa hadharani na Rais Magufuli aliyemteua na kumtaja kuwa ndiye mkuu wa mkoa bora kabisa hapa nchini na wakuu wa mikoa wengine, wanapaswa waige mfano wa uchapaji kazi wa huyo Paul Makonda, wanaccm wa Kigamboni waamue kumnyima kura?
Licha ya malalamiko mengi sana ya wananchi kuwa Mkuu huyo wa mkoa hafai na kumwomba Rais Magufuli atengue uteuzi wake................
Hata hivyo Rais Magufuli amekuwa akiweka pamba masikioni na kutotaka kabisa kusikiliza maoni hayo ya wananchi, hadi wakati fulani aliwahi sikika Rais Magufuli akimwambia Mkuu huyo wa mkoa aendelee kuchapa kazi na asisikilize hizo shutuma zinazotolewa na wananchi walio wengi na akaendelea kumsifia kuwa yeye Makonda ndiye RC bora kabisa hapa nchini, ambapo maRC wengine wanapaswa wamuige yeye Makonda kwa.uchapaji kazi wake!
Je ni kiburi hicho alichopewa na Mheshimiwa Rais, ndicho kilichompa kichwa hadi kuwadharau watanzania wote hadi wakuu wake wa kazi?
Bila shaka wananchi bado hawajasahau lile sakata la namna mkuu huyo wa mkoa, Paul Makonda, alivyoweza kutunushiana "msuli" na waziri wa Fedha, Mheshimiwa Philipo Mpango, kuhusu yale makontena yake ya "fanicha" aliyotaka kuyaingiiza nchini bila ya kuyalipia ushuru, hadi pale Mheshimiwa Rais alipoingilia kati na "kumwamuru" mkuu huyo wa mkoa ayalipie ushuru stahiki makontena hayo
Kutokana na kiburi chake kilichopitiliza wananchi walifikia hatua ya kumbatiza cheo kisichokuwepo cha "Naibu Rais" wa Tanzania!
Hata hivyo wananchi wote wa nchi nzima, hatuna budi kuwapa pongezi wajumbe wa mkutano wa kutoa mapendekezo kwa Jimbo la Kigamboni kwa kufanya kazi iliyotukuka ya "kulikata" jina la Paul Makonda!
Ni matumaini ya wananchi wote kuwa kwenye vikao vilivyosalia vya juu zaidi vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, vitatia "tiki" uamuzi wa wanakigamboni na kutolirejesha jina la Paul Makonda kuwa ndiye mpeperusha bendera za ubunge kwa tiketi ya CCM na kuunga mkono mapendekezo yaliyotolewa na wanaccm wa Kigamboni kuwa Faustine Ndugulile ndiye apeperushe bendera ya CCM kugombea ubunge huo baadaye mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hapa nchini
Mungu ibariki Tanzania
Lazima JPM ashinde uchaguzi, come rain or shine - hapatakalika.Lina ukweli,Ila ni Hadi ashinde October,siasa ni upepo sio hesabu chochote chaweza tokea.
Lazima JPM ashinde uchaguzi, come rain or shine - hapatakalika.
[/QUOTE
Sahau Hilo hatuwezi rudia tena kosa la kusomeshwa namba,mwanae ashaliwa kichwa,chake October
Kwa hiyo Marekani hawana akili kumzuia kukanyaga USA?Kura za maoni zisikupumbaze mimi naamini Makonda ndio mkuu wa mkoa bora kabisa kuwahi kutokea, ni kiongozi mwenye uthubutu na mwenye maono na anayependa kujaribu. Naamini kama Makonda akifanikiwa kuingia kwenye baraza la mawaziri na akapewa wizara ya kilimo ambayo imeajiri watu wengi basi kutakuwa na mapinduzi makubwa sana ya kilimo wakulima watanufaika sana
Nilichokigundua mimi ni kwamba kuna nguvu kubwa sana ya media hasa mitandao ya kijamii inatumika kuaminisha uma kuwa Makonda ni kiongozi mbaya, na hii ni kutokana na ujasiri wake uliochangia kuokoa vijana wengi wa Tanzania waliokuwa wakiteketea, sasa wanufaika wote wakahakikisha wanaelekeza nguvu zao kuhakikisha wanamchafua. Kiongozi mzuri hawezi pimwa kwa wingi wa kura pekee yawezekana wale wajumbe waliopiga kura za maoni wakawa sio wafuasi wake, lakini ikumbukwe wananchi hawapigi kura kwa kuangalia ufuasi, wao huangalia ni kipi kiongozi alichowafanyia au atachowafanyia, na kama hivi ndivyo ilivyo naamini Makonda anaweza shinda jimbo lolote lile ndani ya Tanzania kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuokoa kizazi chetu hasa vijana . Ni binadamu wachache sana wenye uthubutu hapa duniani na hawa huwa ni tunu.
Kwahiyo hayo yote uliyoorodhesha kama mafanikio una hakika ni kwa juhudi zake? Halafu mkuu yaani kama huelewi kwanini watu hawampendi basi umeamua tu kutoelewa, kama sivyo basi kuna tatizo la msingi.Samahani mkuu sijasema kwamba hamna akili naheshimu sana mawazo ya watu na wewe yakupasa hueshimu yangu, binafsi sioni makosa ya Makonda ambayo husababisha jamii kumchukia na wala jamii haimchukii Makonda kama baadhi ya watu wanavyojaribu kutuaminisha naamini kwa kazi alilizozifanya Makonda anaweza shinda jimbo lolote la Dar ikiwa kura zitapigwa na wananchi wa kawaida.
Mimi na tabia ya kumpima mtu kwa kazi zake sio majungu au prejudice. Tangu Makonda ameingia madarakani madawa ya kulevya yameisha Dar kam sio kupungua, wako wapi panya road, vipi kuhusu usafi wa jiji, vipi kuhusu kipindupindu Dar kipo tena? Sasa unaanzaje kumchukia mtu huyu?
Anatuletea umasikini nchini, maadamu mwanae ashabomoka,nae October, hatutaki ukomunist nchini.Lazima JPM ashinde uchaguzi, come rain or shine - hapatakalika.
Usiwape chochote kwa sasa mpaka baada ya vikao vya juu maana yule ni kipenzi cha Mwenyekiti wa hivyo vikao na ni homeboy. Awamu hii kila kitu kinafanikiwa kutokana na watu wanavyoamka siku ya tukio.Yaaan furaha haielezeki niliyonayo, tangu nmezaliwa sijawahi hata kunywa soda maan nna allergy na vinywaji vya viwandani,
Lakini leo nimedufua heinken nzima. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
jamani sijui wajumbe wa CCM Kigamboni niwape zawadi gani wallah
Ingekuwa hivyo kwake Kama Chama chake kisingeona hilo mapema na kutoruhusu watia nia wengi wa nafasi ya Urais kushinda nae. Kwake kura ya ndiyoooo iliyozoeleka ndo ilitumika na kupitishwa.Hilo ni somo kwa magufuli kwamba itakua hivi pia kwake siku akiondoka
Kwa juhudi za nani sasa mimi huwa sina prejudice napenda kiongizi anayejihusisha na matatizo ya wananchi moja kwa moja, mambo aliyefanya Makonda yaliwashinda viongozi wengi tu na ndio point inayombeba hayo mengine mimi kama mwananchi wa kawaida siyajui, mimi nazungumzia uwezo wake wakufanya kazi na kusimamia haki katika jamii anayoiongoza.Kwahiyo hayo yote uliyoorodhesha kama mafanikio una hakika ni kwa juhudi zake? Halafu mkuu yaani kama huelewi kwanini watu hawampendi basi umeamua tu kutoelewa, kama sivyo basi kuna tatizo la msingi.
Mkuu kwa hiyo wewe huana pia.Kwa hiyo Marekani hawana akili kumzuia kukanyaga USA?