Namsubiri huyu mrembo bado anajiandaa!π@lenie na Jack Palladino mbna amtokei hapa nisha agiza vinywajinau mtaka niambiwe nilipe mwenyew na ninywe mwenyewe
Awe mpole, kwanza bado mapema.Namsubiri huyu mrembo bado anajiandaa!
Kama ni kuhusu bills, tutakuja kuclear acha uoga.Wewe na hizi bia nan anakunywa uyo pedeshe wako wa mchongo si amesema anakuja kulipa au π€π€π€
Nikisema mimi ndio kama amesema Jack PalladinoJack Palladino njoo useme basi hapa niagize nini boss wangu
Sawa shangaziNikisema mimi ndio kama amesema Jack Palladino
Hofu ondoa kijana, jienjoyyyy
Kulalamika lalamika hata kwa vitu visivyo na maana ni dalili tosha za kuzeeka.Ndio ujue sija zeeka ivyo
Mzee acha kushindana na ujana.Wewe ase tuheshimiane mimi ni saa nane sio saa kumi wala kumi na moja
Natania tu mkuu ! SamahaniAcha uchokozi wewe google robot