Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Watu wana kuja kunywa bia bar imejaa halafu kumbe kuna wanywa soda wamejaza nafasi bure.Kwani si nalipa pesa yangu
Ndio maana sehemu nyingine kiingilio ni bucket ya bia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wana kuja kunywa bia bar imejaa halafu kumbe kuna wanywa soda wamejaza nafasi bure.Kwani si nalipa pesa yangu
Natumia JDNiwaagizie soda au energy drink?
Acha woga mkuu!😳😳 Eeee analipa nani mimi au wewe?
Nakupitia chap!😉Twende tukamalizie weekend.
Ila uzee haukubalikiiii😅
Wanachekwa kwa kuwa wanafanya mambo ya kijingaVip!
Ujue mimi nawashangaa sana watanzania ambao mna kazi ya kucheka watu kuwa wamezeeka mara maji ya jioni ivi kuna mtu ambaye hata zeeka atabaki ivyo ivyo?
Kuna baadhi yaa watu maarufu huwa wanachekekwa kuwa wamezeeka swali mlitaka wasizekee? Mtu unashinda tandika mpaka jua lina zama una kaa una mcheka kajala mara aunt mbona amcheki wakina jb ambao mvi zimeenda kwa namna fulani mnawazalilisha kwa mambo ya kijinga wwe unaye wacheka hawa huko kwenu wote hamna mvi? Hakuna walio zeeka huko?
I'm waiting😊...Nakupitia chap!😉
Kwani utashindwa kulipa JD 3?Lazima niulize
Ujue ule msemo wa furaha ni kuwa na marafiki furaha ni kulewa na marafiki
Unakujaga kutimia pale unapo achiwa bill ya jd tatu si nitaenda kuosha meza
Ford Ranger!...impreza gari za vijana wadogo!Una kuja na ile ford au impreza?