Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nilikuuliza hivi Ile michango ya join the chain IPO wapi? Mmetafuna nazo? Mbona hamna huruma nyie? Watu wanaomba mrejesho, mbona kimya? Au ndio zimetafunwa kama zile za Ruzuku?
Nenda kwenye ofisi za CDM ukaulize walichangisha kiasi gani, na walitumia kufanyia nini. Sisi hapa tunahoji jizi la kura kuingia ni kiti kanisani wakati ni chukizo mbele ya Mungu.