Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi


kwahiyo ulikaa ukafikiri hiyo kazi haiwezi fanywa na mtz yeyote!!!!!

yaai unachofanya hapa ni sawana mnigeria ajisifu kuwafanyia kazi wakenya baada ya kupewa kazi na kampuni ya kichinana ujenzi wa majengo.

hizo kazi mtindo huo zinafanyika duniani kote,kuruhusiwa au kutoruhusiwa sio aimamo wa kampuni iliyokupa kazi.
 
Mnajishtukia soma vizuri hapo "assumed to be kenyan" lakini ukweli ni kwamba si mkenya ni raia wa south africa...

Inferiority complex to the next level
Kwani alikuwa amebeba passport ya nchi gani? Na je ilikuwa fake? Kwani atakuwa na hadhi ya kibalozi/ diplomat?
 
Kwa taarifa yako iko hivyo duniani kote, kwa sababu za kiusalama, kibiashara, kisiasa n.k. Kuna baadhi ya kazi Marekani haiwezi kukubali aajiriwe rai wa China hata kama ana sifa zinazofaa kiasi gani. Hapo hapo kwenu Kenya kuna nafasi za kazi hawezi pewa Mtanzania, Mnaigeria, Mnyaruanda n.k -- hata kama amewazidi Wakenya wote kwenye interview.

Pia, mind you: baadhi ya wageni, hasa Wakenya na Wanaigeria, wanapata kazi kwenye makampuni ya kigeni sio kwa sababu wana sifa bora sana kuliko Watanzania, ila ni kwa sababu they're are cheaper, wanakubali mishahara midogo sana kuliko Watanzania.

Na hii attitude ya baadhi ya Wakenya kama wewe kuwaita Watanzania 'wasio na sifa, mazumbukuku, wavivu n.k. inachangia tuendelee kuwabana hata kwa yale mambo ambayo sio lazima tuwabane, na tutaendeke kuwabana zaidi. Huwezi kumkumbatia jirani ambaye ana attitude mbovu kiasi hicho. Anajiona 'superior' kwa kila kitukumbe ni 'hustler' tu. Punguzeni jeuri na kujiona. Njoni kistaarab tufanye kazi.
 
Wakenya ni mbwa wa wazungu na hiyo ni historia yenu toka uhuru, Tukikataa kuajiri mbwa tutakua salama zaidi kwa sisi tulioamua kusimama kwa miguu yetu wenyewe na ndio maana hamtaacha kubweka kuhusu Tanzania. Naamin nimeeleweka vizuri sana
 
Siyo lazima afanye kazi kwetu, atafute huko kwao na kwingineko, kama ana credentials kweli hatakosa kazi, siyo issue..
 


These are mere words hata kwenye kanga yapo.. Hata mwanangu wa standard 4 alipewa tender yakusuka mfumo wa tehama Kenya na kampuni moja ya USA. Who is to verify that ndo nishaema.
 

Hazihitaji foreigners ila huwa mkikatalia Mkenya nafasi inapewa mgeni Mwarabu au Mhindi.
Hatutafuti sympathy maana ni dhahiri tulishaingia uadui kati ya Wakenya na Watanzania (haswa awamu hii imechochea pakubwa), ila ninachokisema muwape taarifa hayo makampuni ya kimataifa waache kuhangaika kung'ang'ania Wakenya, wanaingia hasara bure.
 
These are mere words hata kwenye kanga yapo.. Hata mwanangu wa standard 4 alipewa tender yakusuka mfumo wa tehama Kenya na kampuni moja ya USA. Who is to verify that ndo nishaema.

Sasa kitu gani amesema hapo kimesababisha uweweseke, asilimia kubwa ya developers Wakenya wanapiga mzigo Tanzania bila kuhangaika kuja huko, tatizo bado mumeganda kwenye mawazo ya kizamani yaliyopitwa na wakati, miamala inayotendeka sasa hivi ya namna hiyo yaani mingi sana, endelea kulala.
 

Oh! the Almighty has spoken I should take him for his word.

Kwani mimi nimesema nini cha ajabu hadi uamkie JF kabla hata ya kupata kifungua kinywa, ambayo developers wenu wameshindwa kuunda yenu, na kukimbilia kunijibu.
 
Oh! the Almighty has spoken I should take him for his word.

Kwani mimi nimesema nini cha ajabu hadi uamkie JF kabla hata ya kupata kifungua kinywa, ambayo developers wenu wameshindwa kuunda yenu, na kukimbilia kunijibu.

Hivi humu JF una uhakika wachangiaji Wakenya wanazidi kumi? Yaani wale active contributors? Kwa ajili ya exposure tulionayo utakuta Wakenya wengi wakijadili kwenye forums za mataifa tofauti, wachache tunaokuja huku ni aidha tumewahi kuishi Tanzania tukajenga undugu kiasi cha kujikuta tukifuatilia, na kuna wengine huwatibua Wabongo ili apate fursa aidha ya kujibizana kwa Kiswahili.

JF haikua developed na Mtanzania, iko based kwenye platform inayoitwa XenForo - Compelling community forum platform ambayo kajamba yeyote anaweza akaitumia kuanzisha forum, kimsingi ni upate wachangiaji na kwa vile Watanzania wakimwagika kwenye kitu kimoja huingia wote (ujamaa uliwalea hivyo), yeyote akianzisha kitu na muitane, mtaingia wote kichwa kichwa, kama mlivyorundikana kwenye CCM.
 
Ukiona hivyo ujue huyo mwingine is more qualified

Cry babies tulieni
 
Ukiona hivyo ujue huyo mwingine is more qualified

Cry babies tulieni

Makampuni ya kimataifa ndio yanawasilisha ambao wameshinda kwenye tathmini yao, wamesaka kwa Watanzania milioni sitini hawajapata mwenye sifa wanazozitaka, hivyo wakatanua wigo na kupata Wakenya, tatizo mkikatalia Wakenya huwa hawarudi kwa wazawa, wanasaka huko nje kwa Waarabu na Wahindi hapo wanaishia kufyata midomo yenu kwa kuleta ngozi nyeupe.
 
Hata hayo makampuni Yana nepotism na corruption zao

We tulia Tu au njoo upate kaZi, ukiwa vizuri utapata

Sisi tuna wakenya, wazimbabwe na Europeans
 

ni wapi huko mnakotushinda wingi wa watu[emoji23][emoji23][emoji23].

naona unataka kuanzisha league nyingine ambayo huiwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…