Watanzania mbona msiwape taarifa makampuni ya kimataifa yanayong'ang'ania kuajiri Wakenya kwamba hawaruhusiwi

ni wapi huko mnakotushinda wingi wa watu[emoji23][emoji23][emoji23].

naona unataka kuanzisha league nyingine ambayo huiwezi.

Sijaelewa haya maruerue yako....labda uje upya ueleweke.
 
I knew you were dumb

But I underestimated kiwango ulichofikia

This is so dumb
 
Watangaze hiyo nafasi kihalali, wakati mwingine haya makampuni yanaleta majasusi kama Dr Shika (Marehemu) alivyokuwa anatumiwa na Wamarekani huku Russia kisa ni uwekezaji.

Kwenye mambo ya kiusalama ya nchi hakuna sijui jirani wala nini. Kwani ni wakenya wangapi ninaofahamu wanafanya kazi hapa bongo? Ni eengi tu. So kuna sababu acheni kulialia
 
Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Hii kitu ipo miaka mingi sana ni vile serikali yetu ilikwenda likizo ndio maana ndugu zako wakajazana humu na kuanza nyodo kwamba watanzania ni wavivu hatujui na hatufanyi kazi. Arudi tu akaangalie maisha mengine huko kwao au awe Branch Manager wa Coca-Cola Kwanza huko Kenya.
 
Kila kampuni ina desturi zake za utenda kazi, sijafahamu kitu gani hicho mnacho hadi Coca Cola ije kuwawekea majasusi huko, ila ninachokifahamu haya makampuni ya kimataifa huwa makini sana kwenye kuajiri ngazi za juu za kiuongozi na ndio maana wametamalaki miaka yote hii, wangekua wanaajiri zumbukuku yeyote, wangeangukia pua kitambo.

Kawaida wao hufanya kitu tunaita "head hunting", yaani wenyewe wanasaka nani wa kumpa hiyo nafasi bila kuitangaza, wewe unashtukia hapo ofisini umetumiwa barua na kampuni ya kigeni kwamba wanakuomba ukubali wakuajiri kama mkurugenzi, wenyewe wamekusoma utenda kazi wako, wamekupeleleza siku nyingi na kuona weledi wako kwenye uongozi, jinsi ulivyo mtu wa matokeo chanya na mambo mengi tu.
 
Taswira ya kwamba nyinyi ni wavivu haibadiliki kwa kukatalia Wakenya maana hamuajiriwi nyie, inabidi wasake Waarabu na Wahindi huko nje, hivyo bado mnakwepwa kwa mlivyo wazembe
 
Eti eeeh
 
Mnajishtukia soma vizuri hapo "assumed to be kenyan" lakini ukweli ni kwamba si mkenya ni raia wa south africa...

Inferiority complex to the next level
Does it matter if he is South African? Si ameshinda interview among many, including Tanzanians?
 
unasema tumekusanayana sehemu moja jf,niambie ni wapi tumekwenda kwa uchache mkatuzidi idadi??

Wapi kwingine mumekwenda nje ya JF, Ujamaa hulea kitu tunaita "herd mentality" na ndio maana hata mumeishi kwenye siasa za chama kimoja, yaani huo mfumo hulemaza watu kiakili kiasi cha kuogopa kuthubutu mabadiliko yoyote.
 
nimekwambia taja ni wapi mmetuzidi namba,unakimbia na mpira kwapani.
 
Mbona nimeshakujibu kwamba hampo kwingine, maana ya kwamba sitakua na chochote cha kulinganisha.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]wacha nikuache nimeshajua ulichoogopa.
 
Tatizo mnawakatalia kwa vigezo kwamba kuna Watanzania wanaoweza, ila hatimaye wanafuata Waarabu na Wahindi, hapo mnaanguka chali, ilmradi ngozi ni nyeupe mnazimikia.
Hata kule USA watakukataza ukienda on a work VISA kwa kazi ambayo muamerika anaweza kufanya.... Shida kwa hawa Watanzania ni kwamba wanazulia wakenya alafu wanaruhusu wazungu na waarabu... yani eighter hawa jamaa ni wivu ndo umejaa au ni ile saikolojia ya kudharau/kubagua mwafrika mwenzako ukiamini kama huwezi fanya basi hakuna mtu mweusi mwengine anaweza fanya.

Huyu ndo CEO wa Vodacom Tz, lakini Silvia Mulinge walimkataa

[emoji16][emoji16][emoji16]wacha nikuache nimeshajua ulichoogopa.

Mkenya hajawahi kuogopa chochote na ndio maana tunatawala ukanda huu kiuchumi, kielimu, kijeshi na kila kitu....uthubutu wetu.
 
Kenya: Government wants the outgoing Safaricom CEO replaced by a local​

Milicent Atieno

May 1, 2019

Cool Tech Jobs

0 Comments
0
0
0
0
0

Bob Collymore is indeed one of the most well revered and looked up to CEOs in Africa. He is at the helm of Safaricom, the leading mobile service carrier in Kenya, which is also the pioneer of mobile money not just on the continent but the world over.

Well, Collymore tenure is Safaricom is soon coming to its end. The curtains are certainly drawing on his almost decade long career at the telecom company. His contract was supposed to have ended back in 2015 but was further extended by another two years. Come 2017, it was again extended by another two years.

During his second extension, Collymore went on health leave, which left the telecom with an acting CEO for a couple of months. That second extension is reported to be up by August 2019, and it looks like there will be no further extensions. It is believed Collymore will now want to retire because of health reasons.

There are reports that the government of Kenya is routing for a local to head the telco as Collymore’s replacement. If that happens, it will be the first time in the history of Kenya, that a Kenyan is heading one of the most successful companies in Africa.

It is interesting to note that up to until recently, all the telcos in Kenya were headed by foreigners. Airtel Kenya CEO was sourced from India, the home country of its mother company Bharti Airtel. Just recently, Telkom Kenya replaced its old CEO with a local one, but all along the CEOs have been foreigners.

There are reports that a prominent local banking executive has already been interviewed by Safaricom board. It is possible that the board let go of the said executive, in favor of a foreigner, but this news is yet to be confirmed. As the government of Kenya has come out to dispute this report.

Apparently, the Kenyan government and Safaricom entered into a deal back in 2017. Now the government is pushing for that deal to pull through. Joe Mucheru, the Cabinet Secretary for the Ministry of Information, Communication, and Technology was quoted by a section of media saying:

I would be very surprised if they can’t find a Kenya. It will be hard for them to justify, what is so special about telecoms?”

You have used a lot of time to write something which has simple answers, the policy is:

If you don’t get a complement Tanzanian the look elsewhere, now, How do you prove that? So many qualified Tanzanians!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…