Watanzania mlioko sasa nchini Uganda naomba Majibu ya haya Maswali yangu muhimu yafuatayo....

Go and get a room in one of the hostels or apartments meant for single or bachelor and university students neighbouring universities e.g MUBS, Mukono University, Kyambogo, Makerere, KIU, Kampala University, please stay in town (300K is enough, 500K it's like heaven utafurahi sana).
Kampala is the best
Mkuu Ubarikiwe mno kwa huu Ushauri na Utaalam wako. Na nadhani nitafanya kama hivi Ulivyooanisha hapa. Swali la Kizushi Kwako vipi haya maeneo Mademu wapo kwani ndiyo Kilema changu Tukuka hicho.
 
Kampala ndio kisima cha mademu wazuri na K tamu inaongoza kwa Dunia nzima, nenda utatoka USHUHUDA wewe mwenyewe. Kuna Banyankole ni nyoko, kuna Watoto, Banyoro, Bachiga,, Baganda, Bagisu, Tesso, Lang'ii etc pisi za hatari.

Banyoro na Batoro ni jamii ya wanyambo ni ndugu zetu hao utafurahi sana.

Sisi wenye mama zetu wa Kagera Uganda ni kama home.

Kampala is the best in everything
 
Na huwa zinaanzia Shilingi ngapi? Nataka hasa kujua Kodi huko za Nyumba za Kawaida au za Hadhi kidogo ni Shilingi ngapi hasa kwa hapo Jijini Kampala.
kampala life ipo juu million 1 to 1.5 uganda shillings na siyo hiyo 500,000 ya tanzania kwa sasa mkuu exchange rate ipombaya Tanzania sh1 ni sawa na sh 1 .31 ya uganda,,imedrop
 
Kwahiyo anayelipwq Shilingi Milioni 9 za Uganda kwa Mwezi ni. sawa na Shilingi ngapi za Kitanzania?

Umesema kuwa Life ipo juu huko nchini Uganda ila kuna Mtu hapo juu kasema Maisha ya Uganda ni very Cheap.

Sasa nishike / tushike la nani Wakuu?
 
Mimi nipo kampala hapa naongea ukweli.Siyo simple kama watu wanavyoambiana huku mtandaoni exchange rate ya uganda shillings haitofautiani na tanzania shillings kivile,,,
 
Ni sawa na million 6.9 ya Tanzania kwa rate ya sasa hiv ya fedha
 
Kw
Hiyo hesabu haiko sawa, laki 7 za tz = mil moja ya ug. Hiyo chenj ya nusu kwa nusu ilikuwa ya zamani kipindi nasoma, sasa hivi ni 7 kwa 10, means elfu 70 ya tz unapata laki moja ya ug. Kuna wakati inaenda hadi 75 kwa 100.
KWeli kabisa
 
Nimemshangaa Kuna Uzi kuandika humu kuwa Hela Yao karibu itufikie I mean Kwa exchange rate sasa hapa Tena analeta Uzi wa laki Tano yetu Kwa millioni ya Uganda......huyu mleta mada nilikuwa nishaanza kumuamini lakini inaonekana ni wale wale watanzania wa kupewa vitenge na ubwabwa kipindi Cha uchaguzi
 
Hajajua but kwa vile ashafika yupo kampala mwambieni awape mrejesho wa alichokua anafikiria kama kweli 500,000 ya Tz ni million ya uganda
 
Back
Top Bottom