Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya wenu.

Nyie huko huimba kila aina ya nyimbo mnazoimbishwa, mkiambiwa hakuna corona basi nyote hivyo hivyo, mkiambiwa vinajengwa kwa hela ya ndani, nyote mnakenua.

Haya hapa kila Mtanzania anadaiw milioni moja
Deni limefikia 71,000,000,000,000
Gawa kwa Watanzania 60,000,000

Hapo kila mmoja kuanzia kwa vitoto vichanga mpaka kwa ajuza anadaiwa 1,183,000
Kuna baadhi hamtegemei kushika milioni moja kwa maisha yenu, haya mwenye hela yake aanze kulipa.

--------------------------------------------

Tanzania’s national debt, currently at Tsh71.4 trillion ($30.63 billion), is increasing, and the central bank says the dollar's depreciation against other currencies, in which the debt is denominated, is to blame, particularly the Special Drawing Rights (SDRs).

According to the latest Bank of Tanzania monthly economic review for December 2020, external debt stock was $23.8 billion at the end of November 2020, representing an increase of $145.5 million from October 2020 and $1,496.1 million from November 2019.

By the end of October 2020, external debt stood at $23.668 billion: In October 2019, debt from external borrowing was $22.317 billion.

La Kenya ukiligawanya kwa kila mkenya ni million 4, bado ukiangalia pesa zote hizo zimeenda wapi huoni

Hakuna muundombinu wowote wa maana uliopo Kenya Tanzania haupo lakini ipo miundombinu mingi ya maana ipo Tanzania Kenya haipo

Sasa Tanzania ikiamua kukopa kama ninyi si tutakua Singapore
 
Deni lilikuwa kama trillion 60 jamaa alipochukua nchi
Litaongezeka mpaka mkome maana mikataba ya ukopaji riba inahusika, mkope msikope itaongezeka tu, na hella yetu ikishuka thaman deni linaongezeka maradufu, tatizo wengi hamjui uchumi mnaropokaropoka tu
Atakama JPM hajakopa hella kivile na hella haijashuka thamani kijile ila deni limeongezeka, riba za mwanzon ndo vinazoongezeka
 
Hakuna alieuinua uchumi wa nchi hii kama JPM

Kama kweli wewe mchumi utalijua hili

Kibwagizo: USD Exchange Rate Against TZS Kikwete VS Magufuli:

Kikwete: USD to TZ December 2005 = TZS1270, December 2015 = TZS2165: (2165-1270 = 895)
2736829_1617955575534.png
2736832_1617955613759.png

Magufuli: USD to TZ December 2015 = TZS2165, February 2021 = TZS2319: (2319-2165 = 154)
2736834_1617955692766.png
2736836_1617955737203.png

Source: USD TZS Historical Data - Investing.com
 
Ilo mbona lilishaelezwa na mdau humu mmoja, kifupi umekopa hela ukaitumia katika project mbali mbali ambazo kiujumla zitatumika katika maendeleo ya kiuchumi.
Then at any moment, kila mtanzania atakuwa anadaiwa (Total Loans + Interest) - (Assets from loans + Income from asset(Project) + Revenue from Projects)/60M. Sijui Accounts kwahiyo usinichallenge kwa lugha za kiahsibu.

Sasa wewe ukikopa benki ili ukafanye maendeleo, balance sheet yako itakuwa ina negative balance ya Madeni tu?
Kama ndivyo basi maana yake hela yote ulikua unaitumia tofauti na malengo kusudiwa, in the same way unamaanisha kwa deni la Tanzania hizo pesa zote zilitapanywa.

Mimi nimesomea Science, ila nimetumia logic na udadisi tu kwenye hii post.
 
Hakuna alieuinua uchumi wa nchi hii kama JPM

Kama kweli wewe mchumi utalijua hili

Kibwagizo: USD Exchange Rate Against TZS Kikwete VS Magufuli:

Kikwete: USD to TZ December 2005 = TZS1270, December 2015 = TZS2165: (2165-1270 = 895)
View attachment 1752471View attachment 1752474

Magufuli: USD to TZ December 2015 = TZS2165, February 2021 = TZS2319: (2319-2165 = 154)
View attachment 1752475View attachment 1752476

Source: USD TZS Historical Data - Investing.com

Kuna mda kwa kikwete 1usd ilikuwa kama 2360
 
Deni lilikuwa kama trillion 60 jamaa alipochukua nchi
Litaongezeka mpaka mkome maana mikataba ya ukopaji riba inahusika, mkope msikope itaongezeka tu, na hella yetu ikishuka thaman deni linaongezeka maradufu, tatizo wengi hamjui uchumi mnaropokaropoka tu
Atakama JPM hajakopa hella kivile na hella haijashuka thamani kijile ila deni limeongezeka, riba za mwanzon ndo vinazoongezeka
Yaani MATAGA!!wakati meko anaingia madarakani deni lilikuwa ni trilioni 35, leo hii ni karibia trilioni70!!eti hajakopa sana!!tatizo sio kukopa bali ni ulaghai aliokuwa akiwaaminisha wajinga kuwa kila kitu ni kwa pesa ya ndani yeye hakopi , na ndio maana mabeberu wanamuonea wivu kwani hakopi pesa zao!!!tumshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Duh...
 
Back
Top Bottom