Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya wenu.
Nyie huko huimba kila aina ya nyimbo mnazoimbishwa, mkiambiwa hakuna corona basi nyote hivyo hivyo, mkiambiwa vinajengwa kwa hela ya ndani, nyote mnakenua.
Haya hapa kila Mtanzania anadaiw milioni moja
Deni limefikia 71,000,000,000,000
Gawa kwa Watanzania 60,000,000
Hapo kila mmoja kuanzia kwa vitoto vichanga mpaka kwa ajuza anadaiwa 1,183,000
Kuna baadhi hamtegemei kushika milioni moja kwa maisha yenu, haya mwenye hela yake aanze kulipa.
--------------------------------------------
Tanzania’s national debt, currently at Tsh71.4 trillion ($30.63 billion), is increasing, and the central bank says the dollar's depreciation against other currencies, in which the debt is denominated, is to blame, particularly the Special Drawing Rights (SDRs).
According to the latest Bank of Tanzania monthly economic review for December 2020, external debt stock was $23.8 billion at the end of November 2020, representing an increase of $145.5 million from October 2020 and $1,496.1 million from November 2019.
By the end of October 2020, external debt stood at $23.668 billion: In October 2019, debt from external borrowing was $22.317 billion.
Despite the increase, the Ministry of Finance says that the debt is still sustainable.
www.theeastafrican.co.ke