Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

Halafu leo wanakuja watu ohhh, asibezwe!!mazuri aliyofanya atakumbukwa kwayo lakini hata mapungufu yake lazima yasemwe, tusipangiane!!legacy ya mtu huwa hailindwi kwa kutumia nguvu basi husimama yenyewe tu.
 
Leta stats, stats hazidanganyi
 
Hebu taja hizo miundombinu zilizopo Tanzania na hazipo Kenya
 
Kudaiwa ndio ufahari wa tajiri.

Watanzania ni matajiri, tembeeni vifua mbele, tunajenga uchumi wetu kwa pesa za ndani.

Alikisika mtu mmoja kutoka kijiji cha Chato ambaye kwa sasa ni marehemu.
Ukidaiwa huku unaona kilichofanyika cha kimaendeleo ni sawa Kabisa. We agggre looking forward for one unit of electricity to cost less that 50 Tsh, which is less that Ksh 2.50. Currently the price for the same is more than Tsh 1000 or Ksh 50!
Tunafurahi kudaiwa kwa kuwa kazi iliyofanyika itatupunguzia mzigo! SGR ikikamilika pia itaharakisha usafiri na usafirishaji Wa mizigo kwa karibuni asilimia 50. Mungu akupe nini tena?
 
Noma Sana tulidanganywa sana na MWENDAZAKE.
 
Si ndo hizo hela tunajengea,kununua mandege na kujiibia badala ya kulipa deni ambalo linakua tu kwa riba za ajabu ajabu

Sasa nyie mnakopa kabla hamjatumia mnaiba na deni linazidi kukua tu
 
Rais mwenda zake aliamini sana katika cheap popularity, kusema ukweli kwake ilikuwa haramu japo ilijinasibu kwa kelele nyingi kwamba ni msema kweli, sasa nchi iko katika lindi la madeni tutakoma!
 
Hebu taja hizo miundombinu zilizopo Tanzania na hazipo Kenya
hv kwenu kenya rapid bus transit ipo?
ktk kada ya afya mna hospitali kuu ya kitengo cha moyo na kansa?
 
hv kwenu kenya rapid bus transit ipo?
ktk kada ya afya mna hospitali kuu ya kitengo cha moyo na kansa?
Unongea ni kama hakuna hospitali chini kenya zinazotoa matibabu za cancer na moyo. Jielimishe kidogo kaka
 
Unongea ni kama hakuna hospitali chini kenya zinazotoa matibabu za cancer na moyo. Jielimishe kidogo kaka
Nimeuliza wewe leta jibu.
Sijasema km hakuna na sijasema km zipo maana sijui .
Ila nauliza tu broo ili nijue km zipo maana kwa navyojua mm hospitali kubwa ya moyo na ilofanikisha upasuaji mwingi huu ukanda wetu ni JKCI ya muhimbili
 
Pitia hii article kidogo kwanza uchangamshe ubongo
 
Nimeuliza wewe leta jibu.
Sijasema km hakuna na sijasema km zipo maana sijui .
Ila nauliza tu broo ili nijue km zipo maana kwa navyojua mm hospitali kubwa ya moyo na ilofanikisha upasuaji mwingi huu ukanda wetu ni JKCI ya muhimbili
Kenya hatuna hospitali ya cancer wala ya kufanya upasuaji wa moyo. Happy now?
 
Kenya hatuna hospitali ya cancer wala ya kufanya upasuaji wa moyo. Happy now?
Ttttttttt duh hii hatari.
Mie sijataka mabishano nimetaka kujua na nimeuliza kiupole tu muheshimiwa,ila unaonekana huna busara na hujakomaa kiakili wacha nikuache.
Mie ni miongoni mwa watu wanaotamani kufika Kenya kuijua ikoje hivi mgeni anaetaka ijua kwenu ndivyo utakavyomjibu??
Kwaheri ndugu.
 
Kenya hatuna hospitali ya cancer wala ya kufanya upasuaji wa moyo. Happy now?
Fuk,80% of zezetas must first visit a watch doctor.
Maullana geza ulale grand father is a very popular witch expart.
 
Pitia hii article kidogo kwanza uchangamshe ubongoView attachment 1895952
sijakwambia ulete article mm.
mnakuza mambo ilhali kitu chepesi mie nimeuliza na nilitaka jibu la ndio au hapana.
HABARI ZENU WAKENYA SIZIAMINIGI MSHA FABRICATE SANA HABARI NYIE.
NYIE SI NDIO MLIOTANGAZA OLDUVAI GORGE IPO KENYA ??
NITAAMINIJE HABARI ZA WATU KM NYIE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…