britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Pitia hapa
www.jamiiforums.com
Ufanano na utofauti wa Magufuli na Lissu kwenye ngazi ya juu ya uongozi wa nchi
Tumekuwa tunawapima viongozi wetu kulingana na utendaji wao wa maeneo wanayosimamia, na kuweza kuona mazuri na mapungufu yao, Kwa mwaka 2015 yalikuwapo magwiji wawili ambao ni Magufuli na Lowassa, hapa Magufuli alionekana kumzidi Lowassa kwa kila Jambo isipokuwa mtandao na pesa, Lakin wote...