Pre GE2025 Watanzania Msife Moyo 2025 tunaenda kumpata Magufuli Mwingine, ila anatofauti kidogo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pitia hapa

 
Lissu angepunguza kuropoka angepata kura nyingi sana.

Shida hawezi kuachia vitu na matamanio yake kuna watu wanaweza hata waka mfanyia chochote ili asifanikiwe.
 
Ni yaleyale tunahangaika na individuals wakati the whole system ni mbovu..., inabidi Rais awe Ceremonial tu bila Meno yoyote na anachofanya kusimamia utekelezaji wa Short, Middle and long term Plans ambazo tumejiwekea wananchi kama Dira ya Taifa....

 
Kama rais atakuwa ni muislamu mambo ya uzalendo yatakuwa ndoto hakuna muislamu ataacha kuabudu mabeberu na waarabu
Waislam wanapenda luxury life huoni mama yenu anvyotafuta mikopo huku na huko na akipata hazijulikani zinafanya kazi gani NI kubugia Tu na hafatilii !
 
Lissu angepunguza kuropoka angepata kura nyingi sana.

Shida hawezi kuachia vitu na matamanio yake kuna watu wanaweza hata waka mfanyia chochote ili asifanikiwe.
Kwa nini? Ubaya wa lissu ni upi?
 
Ndio mkuu, asifikili siku Mungu akampa kibali afike afanye yake, sema huyu katiba bora ya wananchi anaweza kuitoa ndani ya siku mia, na ikishakuepo pamoja na mapungufu ya kibinadam , atakua na utii kwa wananchi
Uko sahihi, he is very well national Loving Man, and he can mobilize for best Utawala bora
 
Duh! Pole sana. Unahitaji kupewa pole nyingi sana.
nadhani pole za kipekee zaidi ziandaliwe kwa kajili ya Kibaraka, atakae shindwa uchaguzi wa chadema Taifa kwa fedheha na aibu ya kiwango cha kutamani ardhi ipasuke apotelee huko...

infact,
wazee chadema wametamka wazi chadema haitaruhusu kiongozi anaishi nje ya nchi kupewa uongozi πŸ’
 
Lissu angepunguza kuropoka angepata kura nyingi sana.

Shida hawezi kuachia vitu na matamanio yake kuna watu wanaweza hata waka mfanyia chochote ili asifanikiwe.
Asante kwa mchango wako, karibu tena
 
Kwahiyo na wewe unaamini aliepo hatogombea!!?
Hebu kuwa siriaz!!

Au ndio tuamini the state wapo mzigoni kumuingiza mtu wao!!?

Nasubiri !
 
Lisu na mwamba JPM hawafanani hata kidogo maana Lisu yupo tayari kuwa kibaraka
 
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Ni tundu lissu gani unamuongelea ambaye ni tofauti na yule tundu lissu kibaraka wa mabeberu aliyekuwa anawatetea barric na acacia kwenye makinikia ?

Tundu lissu aliyekuwa anapinga bwawa la umeme kujengwa, Anaanzia wapi kufanana na magufuli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…