Camcorowamodo
Senior Member
- Sep 12, 2024
- 160
- 150
TAL mwenyewe misimamo yake juu ya mapenzi ya jinsia moja si unaijuwa? Ni Sera ya nani haya mauchafu haya?? Kama huna la kuandika kalale ila chance ni ndogo sana kwa bwana huyo kuwa mwenyekiti wa chama chenu!!Kama rais atakuwa ni muislamu mambo ya uzalendo yatakuwa ndoto hakuna muislamu ataacha kuabudu mabeberu na waarabu
Sawa, labda Mungu huyu sio wa kweli. Ila kama ni hi
uyu wa Israel basi
Brother zote hizo ni hasira za TAL kuwa na chance ndogo mno ya uenyekiti achilia mbali urais!!!? Naona mnapotezana mapema mnoo!!Miushungi kazi anayoijua ni kuigiza roho toa na kuuza bandari
Umeandika upuuziBrother zote hizo ni hasira za TAL kuwa na chance ndogo mno ya uenyekiti achilia mbali urais!!!? Naona mnapotezana mapema mnoo!!
Sasa hayo makafiri ya kikatoliki mimi.yananiusu nini ...ningekuwa Rais wa hii nchi kitucha kwanza ninge piga marufuku madhehebu yote ya kikristo nq kiislamu na kuamrisha ukristo tu na uislamu tu bila ya madhehebu yenye kupokea miongozo kutoka huko yaliko anzishwa.....tanzania kungekuwa na wakristo wasio na madhehebu na waislamu wasio wa madhehebu...takataka za free masoni na dini za kihindu zote ningepiga marufuku ....dini no moja tzanzania ingekuwa ni HAKI TUTAL mwenyewe misimamo yake juu ya mapenzi ya jinsia moja si unaijuwa? Ni Sera ya nani haya mauchafu haya?? Kama huna la kuandika kalale ila chance ni ndogo sana kwa bwana huyo kuwa mwenyekiti wa chama chenu!!
Kusema kweli ni kwamba hakuna namna upinzani kwa sasa wanaweza kuchukua nchi CCM kwa sasa haiwezi kuruhusu hilo, na wananchi tumelala.Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Tundu Lissu mwenyewe akisikia unamfananisha na Magufuli atasikitika sana.Ukitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
HahahahaaaNa mbengo zetafongoka
Msituletee mental caseUkitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
π π π ila huko chadema kuna vita mkuu sio siriHahahahaaa
Chadema unabeba mustakabali wa Taifaπ π π ila huko chadema kuna vita mkuu sio siri
Ngoja tuendelee kutizamaChadema unabeba mustakabali wa Taifa
Ila chadema mmezingua sana. Nani atawaamini tena? Kama mnaparurana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama mkipewa serikali si ndio mtalikoroga kabisa kisha mtashindwa kulinywa? Mpaka hapo kwa ujinga unaoendelea ndani ya chama kwenye chaguzi zenu mmeshayapa MaCCM credit kibaoUkitazama kwa jicho la maendeleo, uzalendo, weledi na mapenzi Tundu Lissu ana fanana kwa asilimia 90% na Hayati Dr Josef Pombe Magufuli Aliyekuwa Rais wa JMT awamu ya tano.
Jambo moja ambalo sote tunakubaliana ni kuwa Tundu Lissu hana vielement vya One Man Show. He is inclussive and Citzens oriented
This man has special features packaging
-knowledgiable
- confidence
- reliability
-Patriotism
- Human Rights Defender
-Development oriented
-Citzen centred Approach
Tunamshukuru Mungu anaenda kutupa Magufuli wa Tofauti Kidogo. Ataziba hamu yetu iliyopungua baada ya kuondokewa na Mpendwa wa Taifa.
Kwa sasa chadema inapitia kujivua gambaIla chadema mmezingua sana. Nani atawaamini tena? Kama mnaparurana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama mkipewa serikali si ndio mtalikoroga kabisa kisha mtashindwa kulinywa? Mpaka hapo kwa ujinga unaoendelea ndani ya chama kwenye chaguzi zenu mmeshayapa MaCCM credit kibao
Kwa mtazamo wako ambao of course nitauheshimu japo sio lazima niufuate Wewe ni muumini wa Dini gani au ni wa imani ipi ??!Tatizo la watu kama wewe ambao baba zenu waliuza ng'ombe kuwa somesha kumbe waliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe.....hizo dini zenu ndiyo zilitumiwa kuleta ukoloni na utumwa na sasa xinatumiwa kuleta ufisadi na vita africa ...mfano mikataba ya waisiharamu wa DP WORLD ni uchafu wa kikafiri kabisa
ULOKOLE JE ??!Sasa hayo makafiri ya kikatoliki mimi.yananiusu nini ...ningekuwa Rais wa hii nchi kitucha kwanza ninge piga marufuku madhehebu yote ya kikristo nq kiislamu na kuamrisha ukristo tu na uislamu tu bila ya madhehebu yenye kupokea miongozo kutoka huko yaliko anzishwa.....tanzania kungekuwa na wakristo wasio na madhehebu na waislamu wasio wa madhehebu...takataka za free masoni na dini za kihindu zote ningepiga marufuku ....dini no moja tzanzania ingekuwa ni HAKI TU
Naona unatafutia watu ban za moderators kwa nguvu!!!....anaenda kutupa....
Kumbe shida ni kura? Hili tutamwachia MunguUchawi upo kwenye "SANDUKU LA KURA" , vinginevyo ni mitano tena.