Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote.
Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025.
Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania.
Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba hapatakua na uchaguzi mwaka huu.
Uchaguzi huru, wa haki na wa wazi zaidi utafanyika mwezi wa kumi mwaka huu.
Jihadharini na wanasiasa wapotoshaji, waliopoteza muelekeo na kukosa agenda, wasije kuwashawishi kwa chuki na kuwakosesha fursa na nafasi muhimu na adhimu ya kutumia haki zenu za msingi za kikatiba kushiriki uchaguzi na kuchagua viongozi muwapendao kuongoza taifa kwa amani.
Mungu Ibariki Tanzania