Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy Kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mlopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa

Kwa kifupi hata Rutto atabaki ikulu

Britanicca
Chadema kimekwisha kufa sasa hivi wanagawana fito tu na kulamba asali ya mwisho
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy Kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mlopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa

Kwa kifupi hata Rutto atabaki ikulu

Britanicca
Acha mchezo wa kitoto wewe! Siyo Kila kitu ni Cha kuiga dogo vingine havigiki! Mezani ni Bora kuliko barabarani. Jifunze na acha uchochezi wa kikuda!
Kama kuandamana siyo lazima wawe cdm hata wewe unaweza pia!
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy Kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mlopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa

Kwa kifupi hata Rutto atabaki ikulu

Britanicca
Unataka kuniambia wao ngoma iko huku!
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy Kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mlopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa

Kwa kifupi hata Rutto atabaki ikulu

Britanicca
WAJINGA MNAZIDI KUONGEZEKA
 
CCM B hawahangaiki kushika dola maana dola imeshikwa na shina lao wao ni tawi
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy Kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mlopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa

Kwa kifupi hata Rutto atabaki ikulu

Britanicca
Kwahiyo kwa uzi huu nao utalipwa elfu 7 ?
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Kwani wewe ndiye uliowaloga wasishike dola🤔
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Akili mgando na ubinafsi mwingi. Hii ndio hali ya wengi wanaosapoti CCM.
 
Back
Top Bottom