Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

Anza wewe kuandamana na familia yako iweke mbele kabisa tukuone, na hapo ndipo utakuwa mpinzani haswa haswa maana kwa definition yako maandamano ndio userious.

Unataka watu wafe ili nyie mkagawane ulaji.
 
Hawa hapa
20230305_195201.jpg
 
Kama ni hivyo mbona inaogopwa sana na watawala? Nguvu wnayoitumia kupambana na CHADEMA Kwa nini wasitumie kupambana na hivyo vyama unavyovisema?
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
We mzee nipe ile link basi
 
Back
Top Bottom