Watanzania msitegemee kuona hiki chama kikishika dola, chaweza kuwa chama kingine ila si CHADEMA

Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Sometimes JF is boring...!!!!
 
Kwa sasa Lissu yupo ugaibuni akitafakari, "je nihame? sasa wapi? Basi CCM mgawa nyike nijichomeke".
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Umoja Party tu basi.

Hivi vyama vingine ni saccoss za watu.
 
Ndio muanzishe Cha kwenu mchukue Dola sasa badala ya kujificha nyuma ya keyboard kupiga fitna na majungu hayatakusaidieni chochote
Hakuna anayepiga majungu, kinachosemwa hapa ni ukweli haiwezekani kwa sasa CHADEMA wanashindana na ccm kumsifu the so called"mama"
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Hii ngo haiwezi kabisa hata iweje kushika madaraka
 
Tatizo sasa tulilo nalo hatuna chama cha upinzani. Watu wengi wamekata tamaa na CCM kwa sababu wanahisi wamesalitiwa na CCM baada ya Dkt Magufuli kufariki na yet hakuna alternative. Karata pekee waliyokuwa nayo wapinzani ilikuwa ni kuachana na siasa za kumkandia Dkt Magufuli, kuwa na huruma na kifo chake kula sahani moja na CCM na kuhakikisha wanakuwa na msimamo wa kusaidia kuishauri serikali hasa mfano mfumuko wa bei etc. Ila kwa sasa hata sijui msimamo wa wapinzani ni kitu gani zaidi ya kumdhihaki Dkt Magufuli.
 
CCM haitatolewa madarakani na watu wenye kuendekeza njaa!

Yusuph Makamba akiwa KM wa CCM aliwahi kutabiri kwamba ukipenyeza rupia pale CDM hakuna wa kuchomoka labda yule Padri.
 
Mbowe ndo kashawauza hivo
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Anzisha Cha kwako wewe kishike Dola huenda ndio matatizo ya watanzania yataisha ila chadema kishike ama kishike hiyo Dola matatizo ya watanzania hayataisha kamwe
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Lissu alipigwa risasi wewe na wapiga kelele wa mitandaoni kimya.
Lema alikimbia nchi kuepuka kuuwawa wewe na waoga wenzako kimya.
Mbowe alibambikiwa kesi kubwa wewe na wajinga wenzako kimya.

Leo chama kimechukua hatua ya maridhiano unabwabwaja mara kulamba asali blah blah.

Upinzani si lelemama watu wamefilisiwa.watu wamepoteza maisha.watu wamepewa vifungo vya dhulma.watu wameishi katika nchi yao kama ndege wanawindwa usiku na mchana.

Ni rahisi sana kusema na kuandika nyuma ya keyboard ukiambiwa nenda site kipindi kile cha Mwendazake ungefikiri mara mbili mbili.
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Mkuu, Umoja Party vipi mchakato wake bado wajivutavuta?

Hiki ndo chama ambacho kama kweli wana nia waweza kuwapa changamoto hawa CCM na Chadema (CCM light).
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Huwa una ujinga pomoni sana.Si lazima wawe CHADEMA ila wanaweza kuwa hao kupitia chama kingine.CDM ni fikra siyo chama.Usipoelewa kufa.
 
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?

Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki Ikulu.

Britanicca
Britanica unawaza hivi kweli?!
 
Back
Top Bottom