Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Moto upi unaopeleka we chawa? 😹
Wewe si mnafki na mlamba makalio ya mabwana zako wanaokupa buku 7
Unajiskiaje kumsaliti Polepole uliekua unapenda video zake na kuonyesha unamuunga mkono ila leo katekwa na umeshindwa kuandamana kwaajili yake?
 
We mzee mwanga nini? 😹
Wewe si ndo uliekuwa unasema Gen Z waandamane wewe umezeeka..!!

Haya tuambie kwenye generation yenu mlifanya nini kuleta ukombozi zaidi ya kunyamaza na kujiliza? Mpaka mmetufikisha hapa ni nyie wanafki wakubwa kutulia na kuona ni sawa..!!
 
We na nyumbu wenzako umoja mnaonyeshana kwenye mitandao ungekua ni umoja wa kweli mngetoka kuandama kwaajili ya Soka, Mdude au hata leo kwaajili ya Polepole ila kwakua ni nyumbu umekaa mbali unachungulia tu
Uko wapi nikufate tuandamane beautiful boy 😹
 
Ndio kazi pekee mnayo weza, wanafiki wakubwa nyie.
Wewe unajua kufanya kazi ipi? Hata kuandika tu km nilivyoandika mimi huwezi umeufyata fyotoo halafu unajipimia na mimi ku.mamako
 
Polepole alikosa wa kumshauri. Badala ya kuongelea katiba mpya unaongelea Samia aachie chama uchaguzi ufanyike. Alitakiwa kujua kuwa ipo siku watamuua kwa hiyo apiganie kitu muhimu. Alitakiwa atoe madudu ya Magu na kuelezea mambo muhimu akiwa na ushahidi. Sasa mtu unajua watakuja kukuua unaongea vitu ambavyo vishasemwa. Ona sasa wanamuua kwa kusema vitu ambavyo vishasemwa. Huyu watanzania watamsahau ndani ya wiki mbili tu.
 
Unajiskiaje kumsaliti Polepole uliekua unapenda video zake na kuonyesha unamuunga mkono ila leo katekwa na umeshindwa kuandamana kwaajili yake?
Tuanze na nyie CCM wenzake MNAJISIKIAJE?
Si alikua muenezi wenu na mwalimu wenu wa siasa tu yuviccm!! 😹
 
😹😹😹 Hapo mngeshangaa mngeleta fujo yangewachoma kwa kuwataja..!!
 
Akunaga maskini
Mwenye msimamo wote ni wanafiki

Lakin kwa upande wa suala la polepole ni bora wawe wanafiki pole pole kaongea zaidi ya miezi2 ila hajawai kuongea kitu cha maana maneno yake yote aliyokua anayasema ni maneno ya kawaida sana kwa mtu mwenye akili anaweza sema maneno yake yalikua ni maneno ya maelekezo kutoka juu maana alikua anatupa sili zile ameambiwa atupe au alikua anatwambia maneno yale ameambiwa atuambie sikuwai kusikua ata sku moja pole pole akiongea kitu cha maana ambacho atujawai sikia

Lakin pia pole pole ni Ccm na aliwai kua semaji la chama tena katika kipindi ambacho Ccm ilikua inapendwa kwel kwel je akutengeneza mifumo ya kumlinda adi leo hii sisi tuje kumpigania
Kwa upande wangu naamini kabisa pole pole anatumika na Ccm kutuchanganya watanzania wajinga ambao atujui ni nani yuko upande wetu na ninani anatuibia , tunawaamini wote wezi wa wasio wezi kisa tu wamekuja upande wetu

Ni sawa na kumuamini mzee butiku ambae amekua ndan ya ccm ata kabla ya ccm yenyewe haijaundwa leo hii mnataka mumuamini kwel nyie ni ng’ombe yan umeamini butiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…