Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

Hao ndio watanzania halisi sasa
Watanzania ******* sana, huwezi amini tulikiwasha mimi na yule mzee tumekaa mbele ya gari kuzuia lisiondoke mpaka watupe taarifa zinazo eleweka, haiwezekani gari ije imejaa, hao abiria imewatoa wapi? Na sisi tunaondokaje? Wakati huo yule mama anachukua video, security mmoja akataka kumnyanganya simu aisee pale vurugu ndio zikaanza baina yetu sisi watatu na wale wafanyakazi wa mwendo kasi wakisaidiwa na security. Mfanyakazi mmoja akatuambia gari ndio limekuja limejaa sasa na usafiri mwingine haupo mnasemaje sasa? Fanyeni mnachotaka. Watz wote kimyaa mikundu hawa, tulivyokosa support ikabidi tuwe wapole kwasababu walikua wengi tulizidiwa. Narudia tena" WATANZANIA NYOTE KUMANINA ZENU. FVCK YOU ALL". Namuonea huruma sana mange kimambi anavyopoteza nguvu kupigania mapumbavu yasiyo jielewa, mbwa nyie.
 
Hahahaha🤣🤣😁..hakuna wa kuandamana hapa, eti nyumbu
 
Yeye alikua anatishia ili wamuite wakae meza ya majadiliano. Hilo ndo kosa kubwa la HP.

Ukiamua kujilipua we jilipue sio unajilipua huku unataka huruma za watesi wako.!!
 
Achaga UFALA wanaotoka huwa hawaongeagi sana wala kuchamba kama unavyofanya.....nikisema we ni mwoga kama hao hao unaowaponda nitakuwa sijakosea si ndio?
 
Njoo road beautiful girl, ghetto waachie panya na mende bwege wewe 😹😹
We njoo ghetto ni kubanange na kukubagaza tukimuenzi polepole maana kutoka road umeshindwa unaendelea na mikwara mitandaoni kama kawaida
 
Yeye alikua anatishia ili wamuite wakae meza ya majadiliano. Hilo ndo kosa kubwa la HP.

Ukiamua kujilipua we jilipue sio unajilipua huku unataka huruma za watesi wako.!!
Kama ingekuwa hivyo si Lissu angekubali kukaa na serikali ? We kama mtu aliyepigwa risasi ameshindwa kuwatisha kwa kauli wewe ambaye haujawahi hata kuzabwa kibao kama Jaji mstaafu Warioba utaweza ? Huyu jamaa hata Jenerali Ulimwengu alimshauri aliona kabisa hana plan. Hata Tanzania ikija kupata katiba mpya hatuwezi kumweka Polepole kama martyr. Maana yeye alitaka mama aachie ngazi na Lissu aachiwe uchaguzi ufanyike. What waste of life inauma lakini ndio ukweli.
 
Mwanakwetu umesema kweli tupu 💯
 
😹😹😹 Hapo mngeshangaa mngeleta fujo yangewachoma kwa kuwataja..!!
Mkuu waTz ni mikundu sana uliyoyasema hapo juu ndio walivyo tuzidi kumuomba Mungu tuu, maybe Mungu awachukue hawa wanasiasa waliotufikisha hapa basi, ila sisi kama sisi hatuwezi unaweza kujitoa wewe ukajikuta upo peke yako wako bize kukurecord wakupost mitandaoni basi. Narudia tena kama wewe ni mTz " KUMANINA ZAKO, FVCK YOU"
 
Siku mwili wa jpm unaelekea mwanza kwa mazishi,ulipofika ilala boma kuna mzee aliingia kati ya barabara akapiga magoti huku akilia,kuna watu walimponda na kumtukana yule mzee vibaya mno,watu wale wale waliomtukana yule mzee kipindi kile ndio now wana uchungu na kifo cha jpm kuliko hata yule mzee waliyemtukana
 
Mkuu taifa lina vijana wa hovyo sana,wako radhi kujaza uwanja wa taifa kwa mambo ya usimba na uyanga ila sio kutoka mbele kudai mambo ya msingi. Na hiyo tarehe 29 hakuna chochote kitatokea, wanapiga porojo tu mitandaoni.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu, HP naye pia mnafki alikua upande ule ule.
Unajua haya mambo bwana yana tabia ya kujirudia, endapo angesimama kwenye haki toka mwanzo akiwa kwenye stystem angesaidia haya ya leo yasingekuwepo.
Lakini yeye kwa kujua hatoguswa na utawala wao na jiwe ungedumu matokeo yake ndio haya..!! Naye leo ni victim’s
 
Nawajua watanzania usiwategemee kwa jambo lako
Mtanzania na mganda hawana utofauti Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…