Watanzania naombeni mnisamehe kwa hii misimamo yangu ya kisiasa

Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi anaruhusu ndani ya club yake biashara ya madawa ifanywe kuharibu vijana.

Basi ikawa hivyo nikaamua tu kuwa upande wa CCM na kufurahia anguko la CHADEMA japo katika uchaguzi mkuu sikuunga mkono namna uchafuzi uliotokea ule haukua uchaguzi mimi mwenyewe nilikuwa msimamizi msaidizi wa kituo niliyoyaona yanasononesha.

Ila kwa sasa nimekuja kujua CCM ndio wanaotuchelewesha na kutuumiza. Sababu kubwa ni chama cha CCM kimejaa darasa la Saba wa kutosha nenda katika ngazi za wilaya huko utaona viongozi wao ni watu wa namna gani lakini chadema Kuna watu waliosoma cha ajabu hawapewi nafasi.

Kikubwa naomba msamaha kwa yote tusameheane lakini kama ni mipango tuanze sasa hivi ya kuliokoa hili taifa ni heri tufe lakini kieleweke. Kama unaniunga mkono bonyeza like na kisha tupaze sauti popote mlipo muda umewadia kishindo kimefika tusidanganyike tena.
Tumekusamehe,ulikuwa jinga sana....
 
Kwa hiyo unashauri vipi, twende Burundi tuchukue silaha turudi nazo ili tuzifanyie kazi au ni vipi?
 
Wewe ni wale wanasiasa malkayamalaya Chadema haiwezi kuikomboa nchi wasomi uliowaona Chadema ni kama hao kina mdude kweli are serious? Unachekesha sana mkuu
Kweli are serious kiinglishi Cha ccm
 
Nakushauri ukae upande wananchi kwani vyama vitakukatisha tamaa tena. Karibu kwa wananchi ambako tunakosoa kiongozi yeyote yule anayeenda kinyume na wananchi pia tunakosoa chama chochote kile.
Huku unapata uelekeo mmoja usioyumba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mi nataka viongozi walipe kodi hatutaki unyonyaji
 
Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi anaruhusu ndani ya club yake biashara ya madawa ifanywe kuharibu vijana.

Basi ikawa hivyo nikaamua tu kuwa upande wa CCM na kufurahia anguko la CHADEMA japo katika uchaguzi mkuu sikuunga mkono namna uchafuzi uliotokea ule haukua uchaguzi mimi mwenyewe nilikuwa msimamizi msaidizi wa kituo niliyoyaona yanasononesha.

Ila kwa sasa nimekuja kujua CCM ndio wanaotuchelewesha na kutuumiza. Sababu kubwa ni chama cha CCM kimejaa darasa la Saba wa kutosha nenda katika ngazi za wilaya huko utaona viongozi wao ni watu wa namna gani lakini chadema Kuna watu waliosoma cha ajabu hawapewi nafasi.

Kikubwa naomba msamaha kwa yote tusameheane lakini kama ni mipango tuanze sasa hivi ya kuliokoa hili taifa ni heri tufe lakini kieleweke. Kama unaniunga mkono bonyeza like na kisha tupaze sauti popote mlipo muda umewadia kishindo kimefika tusidanganyike tena.
Kwa unyonge sana. Hongera.
 
Back
Top Bottom