Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote waliomsifia kuanzia Akina Getruda, Mitimingi na Balozi wote wamelala na bado wengi wana lala.
Ni muda muwafaka kumwambia baba tulikupa taifa utuongoze maana hatuwezi wote kuwa viongozi ila tunakuomba heshimu wataalam waliokuzunguka na waache wafanye kazi kwa miongozo yao.
Watanzania Tusipo tubu dhambi ya unafiki itatumaliza kila nyumba na ukoo mtazika mpaka wanao sifia watazika ndipo tutajua Kwanini tusingekaa kimya.
Kila kitu tunasifia nadhani hata yeye anajuwa sisi ni wanafiki ni Uwenda anacheza na akili zetu.
Nawaambia dunia itakuja kutuchunguza tumepatwa na jambo gani Tusipo piga makofi nakuwa wakweli hata kwa gharama ya vyeo vyetu kesho tutaheshimika lakini kwa ujinga wetu wapo viongoz watasimamishwa mahakaman kwa kumshauri vibaya huyu mfalme ndipo sote tutajuwa mboga ni matembele.
Cheo sii kitu kama utu wa mtu. Endeleen tu sifia ila mtalia.