Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,628
Ni kweli kabisa, lazima tuwe na ujasiri wa kumuambia kiongozi wetu kuwa tunakuheshimu lakin kwa hili hapana. Pa wasomi wanaomzunguka rais tunaomba msimamie weledi wenu. Binafsi najua kabisa rais wetu ni mgumu sana kumshauri mambo mengi sababu ana elimu kubwa na uzoefu mwingi, lakin hilo lisikukatishe tamaa ya kushauri yale ya kweli. Ukweli husimama siku zote. Msimshauri rais jambo analopenda kusikia. Maisha ya watanzania yako mikononi mwenu.