Mwambie mmeo acha kutusumbua kila mtu aamue anacho onakifaa mfuate mbowe wako
Hata wabunge wenu wamewadharau wanawaona vilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli ni nahodha bora
Bado siamini kama ni yeyeMaisha yanaenda kasi sana asee. Leo huyu jamaa TumainiEl mnywa damu za watu anamkandia jiwe.
Ukiona hivyo yamemkuta, humu ndani Kuna jamaa alikuwa praise team kindakindaki lakini siku hizi amegeuka kwa nguvu zote sijui Nini kilimkuta.Maisha yanaenda kasi sana asee. Leo huyu jamaa TumainiEl mnywa damu za watu anamkandia jiwe.