Doublethink, doublespeak or double-talk. ... Doublespeak is the use of euphemistic or ambiguous language in order to disguise what one is actually saying. Some examples of doublespeak are the term “put to sleep” used in place of the word euthanize, and the phrase “ethnic cleansing” instead of the word genocide.
Kiongoz yeyote dunian anatabia za mtoto kusifiwa. Unapo msifia hadharan hata pale anakosea unamzidishia moto wakutekeleza wazo lake nakudharau maelekezo ya washauri wake. Usiposifia unampa nguvu mshauri wake kufanya kaz. Baada ya mawazo hasi kwa maamuz yake. Mfano akisema jambo sio zuri watu wasikomment au like ni dhahiri hawez kurudiaKipi kitakacho tuangamiza?? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama??
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama??
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake.?
Kipi kitakacho tuangamiza?? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama??
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama??
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake.?
[emoji23][emoji23]nimeshangaa kwa kweliMaisha yanaenda kasi sana asee. Leo huyu jamaa TumainiEl mnywa damu za watu anamkandia jiwe.
Sifu Aman, upendo, uhuru lakini usikubali kusifia kwenda kupima mapapai maabara wakati mashine siyo vipimo vya mazao kilimoKipi kitakacho tuangamiza?? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama??
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama??
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake.?
Uteuzi kapewa cheo cha propaganda kama cyprian Musiba ndivyo huwatuliza wapinzani wa CCM mitandaoniUkiona hivyo yamemkuta,humu ndani Kuna jamaa alikuwa praise team kindakindaki lakini siku hizi amegeuka kwa nguvu zote sijui Nini kilimkuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo Timu ya washauri wa Rais wa kwanza ni Naibu Rais ndugu Daud Bashite wa pili ni Mwigulu Nchemba na hao washauri wake wanashauriwa na Le mutuz na cyprian Musiba pata picha ndipo utajua ni kwa nini mtukufu magufuli huchemsha vingi pindi ahutubiapo hotuba zake.Ni kweli kabisa, lazima tuwe na ujasiri wa kumuambia kiongozi wetu kuwa tunakuheshimu lakin kwa hili hapana. Pa wasomi wanaomzunguka rais tunaomba msimamie weledi wenu. Binafsi najua kabisa rais wetu ni mgumu sana kumshauri mambo mengi sababu ana elimu kubwa na uzoefu mwingi, lakin hilo lisikukatishe tamaa ya kushauri yale ya kweli. Ukweli husimama siku zote. Msimshauri rais jambo analopenda kusikia. Maisha ya watanzania yako mikononi mwenu.
Subiri ripoti ya waatalam kuhusu vipimo ,utashangaaa.