Mkuu watanzania kazi zao ni mbili tuKipi kitakacho tuangamiza?? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama??
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama??
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake.?
He is teleworking, Je na wewe pia? Au wewe upo Karume unauza mitumba[emoji16][emoji16][emoji16].
Leo umekuwa mpinzani?.
Nasema hiviiii magufuli endelea hivyo hivyo.
Nipo pamoja na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahodha Bora Ila watu wake uwezo wa kula hata siku tatu bila kutoka hawawezi Sasa sijui huo ubora upo kwenye nini?Rais Magufuli ni nahodha bora
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Maana sifa yao ndio hiyo
He is teleworking,je na wewe pia?au wewe upo karume unauza mitumba
Naunga mkono hoja, ila kama ni kizuri, rukhsa kusifu!.
P
Enzi zile za kitimoto ulikuwa na akili. Sikuhizi sijui umepatwa na niniNaunga mkono hoja, ila kama ni kizuri, rukhsa kusifu!.
P
Ulisema uko pamoja nae, kumbe wewe unakaanga mihogo somewhereSasa kazi yake mimi itanisaidia nini?.
Sili kwake,silali kwake,sivai kwake..
Hanisaidii simsaidii hanijui simjui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahodha Bora hujitosa vhombo kinapoenda mrama?Mbona kajifungia ndani(Chato)huku akisisitiza Sisi tufanye kazi.Yupo likzo/mapumziko ya zaidi ya mwezi sasa,hivyo ndiyo unapima ubora wake?Rais Magufuli ni nahodha bora
Japo tumemuandika kazi Raisi Magufuli lakini hatuna uwezo wa kumwajibisha katika kipindi akiwa Raisi wetu na hata akishastaafu.Ni mfalme kwa katiba tulio nayo.Mkuu watanzania kazi zao ni mbili tu 1. Kumlipa rais mshahara na marupurupu yake
2.kumuongeza mkataba au kushitisha mkataba wake wa kazi
Hayo ya kusifia ni ujinga and unafiki.
Ulisema uko pamoja nae,kumbe wewe unakaanga mihogo somewhere
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake?
Subiri ripoti ya waatalam kuhusu vipimo ,utashangaaa.
Ujinga wa Mwigulu uko wapi?. Na huo ujinga umeanza kuuona lini? Kwa taarifa yako ni kuwa wateuliwa wa Rais wako hawajawahi kuwa wajinga hata siku moja, ila wanafanya vile boss wao anataka na anavyopenda, sasa hapo mwenye matatizo ni mteuliwa au mteuaji?Soma vizuri makala yangu. Sijamkandia nasema kutokana na wakati. Je tukae kimya au tuwe kama akina Mwigulu ili kesho tuwe wajinga?