Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
He who alleges must prove. Naomba uthibitishe hao uliowataja walikufa kwa ugonjwa gani? Maana hata unacholalamikia hakieleweki.Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote waliomsifia kuanzia Akina Getruda, Mitimingi na Balozi wote wamelala na bado wengi wana lala.
Ni muda muwafaka kumwambia baba tulikupa taifa utuongoze maana hatuwezi wote kuwa viongozi ila tunakuomba heshimu wataalam waliokuzunguka na waache wafanye kazi kwa miongozo yao.
Watanzania Tusipo tubu dhambi ya unafiki itatumaliza kila nyumba na ukoo mtazika mpaka wanao sifia watazika ndipo tutajua Kwanini tusingekaa kimya.
Kila kitu tunasifia nadhani hata yeye anajuwa sisi ni wanafiki ni Uwenda anacheza na akili zetu.
Nawaambia dunia itakuja kutuchunguza tumepatwa na jambo gani Tusipo piga makofi nakuwa wakweli hata kwa gharama ya vyeo vyetu kesho tutaheshimika lakini kwa ujinga wetu wapo viongoz watasimamishwa mahakaman kwa kumshauri vibaya huyu mfalme ndipo sote tutajuwa mboga ni matembele.
Cheo sii kitu kama utu wa mtu. Endeleen tu sifia ila mtalia.
Umenena mkuu sio kila asemalo baba ni heri nae ni mwanadamu, hii tabia ya kuona kila asemalo baba basi ni sawa na lazima wote tuamini hivyo na kusahau kwamba hata baba anakosea na anapokosea aambiwa amekosea,kule Marekani Trump aliambiwa yeye si mfalme na gavana wa NYC na baada ya wiki wakaitana na kukubaliana mambo mengi ya maana.Kifupi huwezi kuwa wewe unajua kila kitu.Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote waliomsifia kuanzia Akina Getruda, Mitimingi na Balozi wote wamelala na bado wengi wana lala.
Ni muda muwafaka kumwambia baba tulikupa taifa utuongoze maana hatuwezi wote kuwa viongozi ila tunakuomba heshimu wataalam waliokuzunguka na waache wafanye kazi kwa miongozo yao.
Watanzania Tusipo tubu dhambi ya unafiki itatumaliza kila nyumba na ukoo mtazika mpaka wanao sifia watazika ndipo tutajua Kwanini tusingekaa kimya.
Kila kitu tunasifia nadhani hata yeye anajuwa sisi ni wanafiki ni Uwenda anacheza na akili zetu.
Nawaambia dunia itakuja kutuchunguza tumepatwa na jambo gani Tusipo piga makofi nakuwa wakweli hata kwa gharama ya vyeo vyetu kesho tutaheshimika lakini kwa ujinga wetu wapo viongoz watasimamishwa mahakaman kwa kumshauri vibaya huyu mfalme ndipo sote tutajuwa mboga ni matembele.
Cheo sii kitu kama utu wa mtu. Endeleen tu sifia ila mtalia.
Ila sasa inazidi mkuuSasa tufanyeje mkuu na huku tunanjaa..
Sikuhz unafiq ndio uzalendo kusimamia kweli ni usaliti.
Uzuri kila siku tunaongeza watu ambao tunaongea lugha moja kenge na nzige wataisha tu! let me tell you!
lugha moja unayosema ndo hii apa? ama kuna lugha hatuijui
Sawa jike
Ndo ushangae badala ya kunawa anaanza kuhojiKipi kitakacho tuangamiza? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama?
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama?
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake?
Damu ya Tundu Lissu inakuliliaSoma vizuri makala yangu. Sijamkandia nasema kutokana na wakati. Je tukae kimya au tuwe kama akina Mwigulu ili kesho tuwe wajinga?
Cku hz hyu kilaza wa mtera ni reporter
Cariha mm natabia moja kusema ukweli. Sio kwamba hakuna mazuri kayafanya. Yapo tena sana ila ndipo nikasema tusisifie kila kitu. Kuna mambo as nation tuonyeshe ukweli. Tunashabikia mambo mengine hata yeye anajuwa sisi wanafiki. Baba yako yupo uchi nayeye anajiona yupo uchi wewe unapiga makofi kweli baba wewe mkali leo umetoka uchi. Hivi kweli kuwa uchi ni sifa? Nadhan baba yako anweza kukulaani.Wewe tumaineli itakuwa ulitumbuliwa mwanzo ulikuwa shabiki number moja mbona umechange na kumponda eti tutaangamia wote, wewe si ndo ulishadadia Hadi Ben Saanane kapotea hafu Leo wajifanya mheshimiwa asisiwe. Karma is a bitch
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu TumainiEli, badala ya kutaja waliotangulia mbele ya haki wakati hujui kilichowandoa duniani, twambie kwenye familia, ukoo, ndugu na rafiki zako wangapi wameambukizwa au vifo kutokana na COVID-19.Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote waliomsifia kuanzia Akina Getruda, Mitimingi na Balozi wote wamelala na bado wengi wana lala.
Ni muda muwafaka kumwambia baba tulikupa taifa utuongoze maana hatuwezi wote kuwa viongozi ila tunakuomba heshimu wataalam waliokuzunguka na waache wafanye kazi kwa miongozo yao.
Watanzania Tusipo tubu dhambi ya unafiki itatumaliza kila nyumba na ukoo mtazika mpaka wanao sifia watazika ndipo tutajua Kwanini tusingekaa kimya.
Kila kitu tunasifia nadhani hata yeye anajuwa sisi ni wanafiki ni Uwenda anacheza na akili zetu.
Nawaambia dunia itakuja kutuchunguza tumepatwa na jambo gani Tusipo piga makofi nakuwa wakweli hata kwa gharama ya vyeo vyetu kesho tutaheshimika lakini kwa ujinga wetu wapo viongoz watasimamishwa mahakaman kwa kumshauri vibaya huyu mfalme ndipo sote tutajuwa mboga ni matembele.
Cheo sii kitu kama utu wa mtu. Endeleen tu sifia ila mtalia.
UNAFIKIKipi kitakacho tuangamiza? Kutaangamia kwasababu tunamsifia Rais ama?
Kwahiyo tusipo msifia tukimpinga, kumponda, kumpuuza, dharau, matusi n.k ndio tutakuwa salama?
Tushauri Sasa mkuu nani tumsifie badala yake?
Naona baada ya kushiba nyama za watanzania wenzako umeamua kuja kuharisha humu.Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote waliomsifia kuanzia Akina Getruda, Mitimingi na Balozi wote wamelala na bado wengi wana lala.
Ni muda muwafaka kumwambia baba tulikupa taifa utuongoze maana hatuwezi wote kuwa viongozi ila tunakuomba heshimu wataalam waliokuzunguka na waache wafanye kazi kwa miongozo yao.
Watanzania Tusipo tubu dhambi ya unafiki itatumaliza kila nyumba na ukoo mtazika mpaka wanao sifia watazika ndipo tutajua Kwanini tusingekaa kimya.
Kila kitu tunasifia nadhani hata yeye anajuwa sisi ni wanafiki ni Uwenda anacheza na akili zetu.
Nawaambia dunia itakuja kutuchunguza tumepatwa na jambo gani Tusipo piga makofi nakuwa wakweli hata kwa gharama ya vyeo vyetu kesho tutaheshimika lakini kwa ujinga wetu wapo viongoz watasimamishwa mahakaman kwa kumshauri vibaya huyu mfalme ndipo sote tutajuwa mboga ni matembele.
Cheo sii kitu kama utu wa mtu. Endeleen tu sifia ila mtalia.
Uloliandika ni kweli Ila na nyie mwanzo mlibugi mliona kila mwenye mtazamo tofauti ni mhaini na apotezwe tu, Sasa unaona Hali tulipofikia kwa Sasa Nani atamfunga paka kengele, kila kitu kimekuwa shagalabagala tu hata issue ya corona na future ya uchumi plus utalii. As a country tunahitaji vyombo imara Kama bunge ili kusimamia serikali, unfortunately bunge letu ni toothless dog, pia ni hatari ka mtu mmoja kuwa juu ya kila kitu Hadi wataalamu.Cariha mm natabia moja kusema ukweli. Sio kwamba hakuna mazuri kayafanya. Yapo tena sana ila ndipo nikasema tusisifie kila kitu. Kuna mambo as nation tuonyeshe ukweli. Tunashabikia mambo mengine hata yeye anajuwa sisi wanafiki. Baba yako yupo uchi nayeye anajiona yupo uchi wewe unapiga makofi kweli baba wewe mkali leo umetoka uchi. Hivi kweli kuwa uchi ni sifa? Nadhan baba yako anweza kukulaani.