Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.
Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.
Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.
He is a wizard.
Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app