Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.

Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.

Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.

He is a wizard.

Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana alizuiwa lakini sio kwa sababu zinazotajwa Instagram bali ni protokali za kiserikali! Diamond alichelewa kufika Karemjee bila kujali sababu za kuchelewa kwake! Kiprotokali, haiwezekani Rais wa Nchi aage mwili halafu baadae atokee mtu mwingine akaage; hiyo itakuwa ni kufanya atakayekuja baada ya Rais ndie boss mweneyewe! Ni kama unavyoona pale Taifa! Viongozi wooooooooote, wanaingia ndipo the Man Himself anaingia!
Ohooo!kumbe kazuiliwa ila wapo waliochelewa wakaaga pia maiti!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.

Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.

Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.

He is a wizard.

Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Hivi nyie watu hizi habari za Ruge kumnyanyua Diamond kimuziki mmezitoa wapi?! Kama alikuwa na huo uwezo, kwanini hakuwanyanyua wasanii wa THT? Barnaba yule pale, bonge la mwanamuziki, mbona hakumnyanyua kufikia level za Diamond? Btw, kama leo hii mnatuambia Diamond alinyanyuliwa naRuge, Papa Misifa aseme nini?!
 
Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.

Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.

Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.

He is a wizard.

Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Unasema ukweli mkuu.....yaan ilikuwa ni aibu!...

Si kwa kuzomewa kule[emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuaga baada ya Rais kuwa ameshaaga? Labda wakati Rais ameshaondoka lakini sio wakati yupo pale pale!! Hizo ni protocol za kiserikali Ray!
Diamond alikuja wakati Rais kaishaondoka!

Kwahiyo mandate ya shughuli ilirudi kwa CMG, hivyo kuzuiliwa kwake hakuna uhusiano na protocol ya uwepo was Rais

Mbona Mzee Mengi aliruhusiwa kuingia na kuaga + speech, without the presence of President?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond alikuja wakati Rais kaishaondoka!

Kwahiyo mandate ya shughuli ilirudi kwa CMG, hivyo kuzuiliwa kwake hakuna uhusiano na protocol ya uwepo was Rais

Mbona Mzee Mengi aliruhusiwa kuingia na kuaga + speech, without the presence of President?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu ni kuhusu Diamond kuwahi kumdhalilisha Ruge! Mbona unabadili magoli?
Lakini sio issue, issue ni kwamba mnataka kutuaminisha alizuiliwa kwa sababu alikuwa na ugomvi na Ruge, au kama alivyosema mdau uliyemuunga mkono kwamba Diamond alimdhalilisha Ruge! Jibu basi alimdhalilisha nini hadi ipelekee kuzuiwa?
 
Umaskini unasababisha tuwe na chuki kwa wenye navyo, there is a big hate by The Have Nots to The Haves.

Ruge kaondoka, kuna watu wanamponda, wanaponda maiti. Most of these are losers.

Diamond issue yake na msiba wa Ruge, he took the quiet course, watu wanamponda, and most of those ni losers, utakuta deep down tunamponda kwa sababu ya mafanikio yake.

Am very sure kuna wasanii kibao ambao hawakwenda, ila anayejulikana ni Diamond.

People, let's get life.
 
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.
umesahau Clouds ndio walionza choko chiko kupitia kwa Soudy ambaye alimtukana sana Diamond na hata kuwashirikisha wazazi wake lakini jamaa alipiga moyo konde aliposhindwa na yeye akaanza kujibu mapigo tena sio matusi bali ni slogab kama hawaamini wa wanachokiona,sanaa imezaliwa upya,Mond hajawahi kumtusi Ruge wala mtu yoyote wa Clouds zaidi ya kuwachalenji kibiashara.....chuki sio nzuri kwa afya ya akili na mwili...bahati mbaya unaemchukia hakujui.
 
Tunashika namba wani duniani kwa umbea. Tena na hii mitandao sasa ndo kabisaaa...
Tena bora tungebaki na flag ya umbeya kwa sababu mbeya huwa anasema ukweli, analaaniwa kwa sababu hakutumwa kuusema huo ukweli zaidi ya kiherehere chake! Kinyume chake, Watanzania tumekuwa wazushi na wafitini kweli kweli! Mbaya zaidi, tumekuwa ni watu wenye husuda hadi shetani mwenyewe anatuogopa!! Na watu walivyo wanafiki, hao hao wanaosakama Diamond kwa ajili ya Ruge, ndio hao hao waliokuwa wanamsakama Ruge kipindi cha uhai wake!!
 
Nilikuwa siyo mfatiliaji wa haya mambo ila nimegundua kuna baadhi ya watu wanamchukia diamond sababu ya mafanikio yake na hii ndiyo identity ya kitanzania kuchukia wenye mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli huo wenyewe ndio huo! Hamna la ziada zaidi ya chuki! Ndio maana hata wale wanaosema Diamond alimdhalilisha Ruge; nimewauliza hapa alimdhalilisha nini; hakuna aliyejibu hata mmoja na wote wamekimbia!
 
Back
Top Bottom