Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Halafu wale jamaa unajua wamefunga mdomo baada ya kuona share za Diamond kwenye Wasafi TV? Hawa nao walishafakamia matango pori ya Da' Mange aliyekuwa anadai Kusaga ndie mmiliki wa Wasafi TV kwa 98% na kwamba Diamond anamiliki 2%!
 
Kamjibu mtaka sifa Mrisho Mpoto
 
Halafu wale jamaa unajua wamefunga mdomo baada ya kuona share za Diamond kwenye Wasafi TV? Hawa nao walishafakamia matango pori ya Da' Mange aliyekuwa anadai Kusaga ndie mmiliki wa Wasafi TV kwa 98% na kwamba Diamond anamiliki 2%!
na ipo siku atakuja kua boss wao pia
 
Hili la zama nilishalisema siku nyingi sana, yule ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, alifnya ujinga ambao lazima hata yeye anaujutia na hapo anakumbuka kauli ya marehemu "ogopa vitu viwili Mungu na TEKNOLOJIA, ile clip imemezwa na teknolojia haitafutika kamwe.
 
Dah!umenena vyema sanaaaaa!!!yàani waliko aibu wameipata hawakutegemea km msiba huu ungekua wa kitaifa kwa hili wao ndo wameonekana wehu haswaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sana Lemutuz aliichukulia ile clip huyu mjane wa kambo aliyo irusha ikawa ndio fimbo ya kumchipia Ruge, kila afanyalo anadhihakiwa na clip ya kilio, walijua itakuwa shughuli ndogo ili waendelee kumdhihaki, Mungu kawachapa wote wamefunika macho na miwani kwa aibu.
 
Ili awe tofaut na wengine. Swala la kuchelewa naona alichelewa saloon.

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya hapo akarusha yupo vacay Zanzibar anakula bata.

Kila mtu na nyota yake.
hujiulizi why Barnaba alikuwa bado pale na kazi zingine?
Wivu acha na toho mbaya
 
Papa misifa na Bob Junior ndio waliomtoa Diamond ,Diamond alikataliwa THT.

Ruge alikuwa bosi wa Diamond pamoja na Joseph.

Joseph ataendelea kuwa bosi wake.

Mameneja walikuwa chini ya muongozo wa hao wawili.

Hata kama hao walianza haijalishi, Ruge alimpaisha one way or the other.
 
Kama fiesta ilifungiwa ulitaka yeye asifanye onyesho lake?ruge ametangulia nasi tutafuata unamuongelea ruge kama yeye malaika hakosei au kukosolewa
Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ule ndio udhalilishaji,ya Diamomd ni biznez oriented hakuna matusi pale,ni competetion na hajawahi kumtusi Ruge wala.member yoyte wa CMG zaid ya wao kupitia Shilawadu kumdhihaki kwamba anamtifua mama yake mzazi,mara kamloga baba yake ndo mana hataki kumtibia....mara balozi tu mali sio zake...mambo kibao,sasa hiv kiburi cha kina Soudy nadhan kimefika ukomo...tumefunzwa kutomtegemea mwanadamu bali Mungu pekee
 
Mwisho wa siku hao wote uliowataja mabosi au bosi wao mmoja.

Biashara zisiwapotoshe, kuna mengi. Though vya ajabu havikosekani.
 
Baada ya hapo akarusha yupo vacay Zanzibar anakula bata.

Kila mtu na nyota yake.
hujiulizi why Barnaba alikuwa bado pale na kazi zingine?
Wivu acha na toho mbaya
Acha uongo! Diamond hajatokea kwenye mikono ya Ruge!!! Bahati mzuri joseph1989 ameweka video hapo juu ambapo Mwasiti, mkongwe wa THT amesema wazi kwamba Diamond alitumiliwa pale THT alipoenda kuomba nafasi!! Sasa huyo Ruge alimtolea wapi?! Yaani unataka kutuambia Nenda Kamwambie iliyomtambulisha Mond ina mkono wa Ruge? Unataka kutuambia Mbagala second video track aftet Nenda Kamwambie ina mikono ya Ruge?
 
Halafu wale jamaa unajua wamefunga mdomo baada ya kuona share za Diamond kwenye Wasafi TV? Hawa nao walishafakamia matango pori ya Da' Mange aliyekuwa anadai Kusaga ndie mmiliki wa Wasafi TV kwa 98% na kwamba Diamond anamiliki 2%!

Na humo kwa shares za Diamond hayupo peke yake ana wenzake.
 
Ruge alikuwa bosi wa Diamond pamoja na Joseph.

Joseph ataendelea kuwa bosi wake.

Mameneja walikuwa chini ya muongozo wa hao wawili.

Hata kama hao walianza haijalishi, Ruge alimpaisha one way or the other.
Yaani unashindwa hata kutofautisha kati ya mshirika wa kibiashara na bosi!
 
Kipindi Ruge anaumwa alifanya mengi ya roho mbaya.

Biashara bila akili nayo ni tabu. Yeye na his managers hawajui kupiga mahesabu ya dakika tano mbele.

Education ni muhimu maishani.
 
Na humo kwa shares za Diamond hayupo peke yake ana wenzake.
Wenzake akina nani?! Hivi we jamaa unajua unachoongea wewe?! Mtu ambae alitaka kuwemo kwenye ubia ni Sallam lakini iliposhindikana ndo akaamua kuanzisha Dizzim Online! Sasa hao wenzake ni akina nani na wana percent ngapi kila mmoja?
 
Haaa kumbe ametuchafua wengi yaan mkuu umedadavua vyema afu bifu la mond na ruge ni la kibiashara ambalo si jambo baya
 
Kipindi Ruge anaumwa alifanya mengi ya roho mbaya.

Biashara bila akili nayo ni tabu. Yeye na his managers hawajui kupiga mahesabu ya dakika tano mbele.

Education ni muhimu maishani.
Mimi sina shida na hayo mengi, taja MOJA TU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…