Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Kuna mambo mawili yatatokea hapo Oktoba

1. Nyuzi za kuibiwa kura zitakuwa nyingi humu

2. % za Kura alizopata EL zitakuwa nyingi kuliko za TL
 
chagu wa malunde

Kijana ukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm?!?!.......zingatia zile factors...(economic, social and political factors)......
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
 
Ni yeeeeeyeeeeeeee

TL anawalaza macho wazi.
 
Tatizo hali ya maisha ni ngumu hasa mitaani hata vibarua vya kujenga tu hazipo, ushuru nao umepanda yaani kilakitu kipo hovyo hovyo, ajira hakuna, mtaji wa kujiajili nao ni ishu kuupata
 
Ccm hakulaliki leo...Haki ya Mungu tena!!! Yamewatoka sana hapa siku mbili tatu nyuma kua lisu hatafaa kuaminiwa na CDM Bora Lazaro, Leo Ni Nini hiki kupanic Kama matahira mnagongana hovyo hamjielewi kbsaaaa. Na ole wenu mumguse👊👊👊👊 Tuko hivi yaani....💪💪💪💪. Mkijaribu hamtaamini kinaenda tokea.✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️Peoplessssssss.............POWEEEEERRRR.
 
tulia lissu akuingize dawa acha papara
Lisu wa Acacia na makinikia ambaye hata ukimuuliza ikulu anaitaka ya nini anaanza kukupigia hadithi za Alfu Lela u Lela watampa kura wasiojitambua
 
Lisu wa Acacia na makinikia ambaye hata ukimuuliza ikulu anaitaka ya nini anaanza kukupigia hadithi za Alfu Lela u Lela watampa kura wasiojitambua
Nyie mkampe kura yule mbaguzi wenu,tumechoka.Kodi tutoe wote, maendeleo mpewe nyie tu.wote Ni watanzania
 
Nonsense. Jibu hoja mtapata kura za huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…