Wewe ndio mkimbizi usiyejua maana ya demokrasia.Nyie mtakuwa wakimbizi sio watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio mkimbizi usiyejua maana ya demokrasia.Nyie mtakuwa wakimbizi sio watanzania.
Kutekeleza ndio kufanya kwenyewe,ila tambueni hakuna kura za huruma
Nyamongo alienda kuwatetea watu alikua kwenye kibarua chake. Tokea lini Tundu Lissu akafanya kitu bureMimi mkuu ntawapigia CDM kura ya huruma, pia ntashawishi nandugu zangu huko kijijini ingawa waliniuliza eti yule alipigwa Lisasi karudi kugombea uraisi, nikawambia ndio wakasema wanamtaka huyohuyo, na watoto wao wasije wakapigwa risasi wanahitaji kiongozi mwenye huruma, alienda watetea watu huko nyamongo waliokuwa wanazikwa huku wakiwa hai.
Tulia Lissu akuingize dawa acha papara
Umeshaanza kuweweseka [emoji3083]
Mtaweweseka sana vichaaa nyinyi, anzeni kukusanya virago mapema, serikali mpya ya kamanda Tundu Lissu haicheki na kima wa Kijani
Kuweweseka unakujua?
Hakika upo sahihi kabisaHakuna jipya alichofanya huyo jamaa yenu yote yalikua kwenye plan anayatekeleza tu.
Twende na Lissu
Hujaelewa nini hapo?Serikali mpya?
Nani aliekupa hayo mamlaka ya kuongea kwa niaba ya "WATANZANIA"?
Kutekeleza ndio kufanya kwenyewe,ila tambueni hakuna kura za huruma
Kijana ukiweka kando ukabila na udini uliotangazwa na gwajima ni nani kati ya wafuatao anaweza kupigia kura ccm?!?!.......zingatia zile factors...(economic, social and political factors)......
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Watabadili sana tenzi hawa watani zetuWalianza ooooh lazima Nyalandu ndiyo anapendwa oooh Lissu hawezi kupitishwaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mnafki mwenyewe, kenge wa kijani weweUnafiki utakuua wewe
Mie nilishafanya uamuzi. Hiki chama cha kijamaa hakitotufikisha popote nakwambiaNawaza sana kuachana na CCM
Watabadili sana tenzi hawa watani zetu