Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Watanzania wasio wajinga sasa wanataka kura zote kila jimbo zihesabiwe hadharani.
Ajabu sana. Ati kwanini masanduku hubebwa kupelekwa halmashauri ilhali kura zimepigwa vituoni?
 
Nilishasema hili ni ingizo bovu CCM kama usajili wa Yikpe Yanga. Yaani wewe ndo Yikpe wa JF.
Unaona kabisa mtu kapewa kura na Watanzania 405 kwenye kura za maoni halafu unaleta Uzi wa kidwanzi eti Watanzania hawatampa kura!! Hao wajumbe 405 ni Wanyarwanda kama Magufuli?
Huna akili na mpumbavu wewe. Jibu hoja mtapata kura za hutuma? Au watu watachagua mchapa kazi ma mleta maendeleo? Unaleta habari za kipuuzi n kitoto
 
Mm na familia yangu KURA za ndio ni kwa Lissu.
Asitokee popoma yeyote kunishawishi wala kunizuia.
 
Pole ndugu yangu, Ila hongera kwa kujitoa mhanga.
Kuanzia leo tambua kuwa Jamiiforum si mahala salama kwa wanaounga mkono juhudi.
Tambua kuwa Uhuru upo, Ila hakuna uhuru wa kukosoa chadema na viongizi wake.
Lisu hapingwi, ukimpinga lisu humu Jf jiandae kwa reply za matusi na kejeli.
Siku nyingine uje na mada itakayo wapendeza wana Jf.
Mfano: unaweza andika heading Kama hii
TUNDU LISU NDIO MKOMBOZI WETU, TUMPE KURA ZETU.
Acha kufikiri kwa makalio tumia akili. Au yanakuwasha? Kejeli zenu na matusi zinanitisha nini?
 
Tunamporomosha "KISHINDO CHA AWAMU YA TANO" kama tunanawa vile. Tayari nyaraka nyingine ya SGR tumeinyaka yani ni wadudu watupu!
Ahaaaa, huku ndio kuweweseka. Habari za Sgr na kura za huruma mnazosaka zinaingiliana wapi?
 
Hapa sasa ni kila mmoja kukaa na familia kuweka na sawa suala la kura zote kumpa jamaaa. Hakuna namna.
 
Nadhani comment za humu kwenye post yako zinatosha kukupa picha kuwa kama kweli huyo Lissu anapendwa ama la. Nadhani pia ulipata kushuhudia mapokezi yake alipokuwa akiingia Dar na jinsi alivyoteka mitandao karibu yote bongo.
Hakuna kinachonishawishi hata kidogo. Hizo picha za mapokezi za kutengeneza ili ionekane watu wengi? Na comment za kishabiki ndio zinishawishi?
 
Nipo Kakola nashuhudia Twiga minerals ikiwanufaisha watanzania.
Hata kama nchi iendelee vipi lakini kama wananchi wanaishi kwa hofu ni kazi bure,na hapa ndipo utawala huu ulipofeli,amani ya moyo haipo,kimsingi watu wengi watamchagua Lisu si tu kwasababu lisu ni bora sana bali hasira ya ubabe unaoendelea
 
Mleta mada, si kweli kuwa taifa linahitaji barabara, umeme, reli TU. Taifa linahitaji maendeleo ya intangibles kama elimu bora, usawa na uhuru, haki, utajiri na ustawi.

Sidhani Lissu atapigiwa kura ya kuhurumiwa. Uchaguzi huu ni kura kati ya kuchagua maendeleo ya vitu au ustawi wa watu!! Hao unaowabeza ni mabeberu ndio hawa hawa hata wametukopesha pesa za kujengea hii miradi unayoitaja. Tabia hii ya kuamini “baniani mbaya kiatu chake dawa” ndio inayoonesha kudidimia kwa ustawi wa jamii - lack of morals!!!
 
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unataka kusema maendeleo yanayofanyika hapa Tz hayamgusi mwananchi moja kwa moja? Kutukopesha sio sababu ya kutufanya sisi mabwege ndio maana hatutaki mikopo yenye mashariti ya kipuuzi kama kuruhusu ushoga na mimba za utotoni. Ila Lissu anaunga mkono huu upuuzi .
 
Back
Top Bottom