Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Nani alikudanganya Chadema inataka kura za huruma? Kama mnajiamini kwanini mnagomea uwepo wa tume huru na pia kuogopa kura kuhesabiwa hadharani?

Kutekeleza ndio kufanya kwenyewe,ila tambueni hakuna kura za huruma
 
Nyamongo alienda kuwatetea watu alikua kwenye kibarua chake. Tokea lini Tundu Lissu akafanya kitu bure
 
Walianza ooooh lazima Nyalandu ndiyo anapendwa oooh Lissu hawezi kupitishwaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtaweweseka sana vichaaa nyinyi, anzeni kukusanya virago mapema, serikali mpya ya kamanda Tundu Lissu haicheki na kima wa Kijani
 
Hakuna anayeweza kuipigia kura ccm
 
Nilishasema hili ni ingizo bovu CCM kama usajili wa Yikpe Yanga. Yaani wewe ndo Yikpe wa JF.
Unaona kabisa mtu kapewa kura na Watanzania 405 kwenye kura za maoni halafu unaleta Uzi wa kidwanzi eti Watanzania hawatampa kura!! Hao wajumbe 405 ni Wanyarwanda kama Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…