Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Hivi kwa katiba ya cdm Lisu mwenyekiti anakuwa na cheo gani ndani ya serikali au atang'ang'ania apewe uwaziri mkuu😷!
 
Mkuu Mimi nitampigia si kwa huruma bali kwa kuwa yeye ni Bora zaidi ya Magufuli.Naamini Ile ya 2015 ya chagua mtu,chagua Magufuli this time haitakuwa hivyo,this time atategemea kubebwa na chama.
Mtu hujijui utakuwa na uwezo wa kuanalyse mambo? Yaaani Lissu apambane na JPM?
 
Nonsense
 
CCM mshaanza kujamba Jamba hovyo hata kampeni bado[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mtu hujijui utakuwa na uwezo wa kuanalyse mambo? Yaaani Lissu apambane na JPM?
Mkuu Mimi si mfia chama ,Hivi mtu anayetekeleza budgets alizopanga mwenyewe kwa wastani wa less than 50% every year for five good years and still mwaka unaofuata anapanga budget kubwa zaidi ya Ile aliyotekeleza kwa less than 50%_ unadhani mtu huyo upstairs anachochote?
 
Huna akili na mpumbavu wewe. Jibu hoja mtapata kura za hutuma? Au watu watachagua mchapa kazi ma mleta maendeleo? Unaleta habari za kipuuzi n kitoto
Mkuu hayo maendeleo unayoletewa na Magufuli yanaletwa na ziara zake,matamko yake,ukali wake au pesa? Yaani uplan kujenga nyumba for 10m mwaka 2020 kwa mfano,harafu mwisho wa mwaka kipato chako kwa ujumla wake iwe 4m Kisha uende kwa familia yako kuwadanganya kwamba umejenga nyumba kwa hiyo familia inaendelea,nadhani ni mazuzu tu wa level yako watakuelewa
 
Kura yangu kwa Lissu, full stop! ikikuuma pasuka!
 
Mfano mfu. Hoja ya kipuuzi
 
watu wanahitaji ajira. Hivyo vimiundombinu vinasaidia nini wakati wanamaliza vyuo wanakuja kuuza ubuyu. Watu wanalia mtaani hata sector binafsi haiajiri tena uchumi mbovu
Acha wauze ubuyu,kwani ni nchi gani serikali huwa inaajiri wananchi wake wote? Mbona sisi tunakomaa huku porini Nyakagwe na Nyangalata.
 
Hakuna cha huruma hapa wanaotumia akili za kuvukia barabara ndiyo wamekuja na wazo la kuonewa huruma anaye wahifadhi hao wasiojuliana ambao hawatakiwi wajulikane ni nani
Hao wasiojulikana ndio mada husika? Na wanahusika vipi mtu kupanda jukwaani na magongo ili mtu aonewe huruma wakati si mzalendo na hafai kuwa kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…