Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

Hujui Mrema ni Agent wa MaCCM alitumika kuisambaratisha NCCR??
Kwani uzalendo ni kuuwa watu kuwapiga risasi na kuwapoteza??
Huna hata aibu, hujui CCM ni chama cha wauwaji, watoa rushwa na ushahidi uko wazi ua huoni??
Nonsense.
 
U
 
Nonsense.
Wewe ni kuku wa kienyeji kabisa unawasifu kunguru na mwewe wakati kila siku vifaranga vyako vinaliwa. Sasa huyu kipanga wa magogoni atakutafuna siku si nyingi. Kwanini uuandike neno uzalendo ambalo umejionyesha upumbavu wako wa ajabu. Kuwa hata kumvulia pichu magu ni uzalendo! rubbish thinking. Tell this to your fellow birds!!
 
Nakupuuza.
 
Nakupuuza.
 
Huo uliouta nonsense. Huku jukwaani ni tofauti na huko mtaani ambako wananchi wamejazwa hofu ya kutongea ukweli, bali kusifia tu.
Watu wangekuwa wanauliwa hovyo wewe na hiyo jamaa mgelikuwepo?
 
Muda huu ndio huwa ni muda pekee mtanzania anaonekana sio mjinga!!! Hahahaaa, yaani miaka mitano kasoro jitu liwe jinga, miezi mitatu hii ndio liwe na akili kweli?!!! Haiwezekani
 
Muda huu ndio huwa ni muda pekee mtanzania anaonekana sio mjinga!!! Hahahaaa, yaani miaka mitano kasoro jitu liwe jinga, miezi mitatu hii ndio liwe na akili kweli?!!! Haiwezekani
Hiki ni kipindi cha uchaguzi. Inatupasa kutumia akili sana.
 
Kwani unadhani kwakuwa vita kuu ya kwanza ya dunia, na ya pili respectively viliua watu wengi, unadhani viliua watu wote?
Mfano gani sasa huu. Maana maiti zilitapakaa na watu wengi walikufa. Hapa Tanzania hamna extrajudicial killings. Wacheni kupotosha .
 
Mkuu kama una mawazo mazuri hivi, ni kwanini usianzishe chama chako cha upinzani, ili tuone mfano wa haya unayohubiri? Au ww ni motivational speaker?
Mkuu, kila mpenda michezo siyo lazima awe ni mchezaji, wengine ni mashabiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…