Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mfano gani sasa huu. Maana maiti zilitapakaa na watu wengi walikufa. Hapa Tanzania hamna extrajudicial killings. Wacheni kupotosha .
Mfano wangu ni mrahisi sana, sio kila ukisikia mauaji lazima watu wote wafe, maana maelezo yako ilikuwa kama kuna mauaji, basi hata mimi nilipaswa kuwa nimeuwawa. Maana hata ukimwi umeua sana, lakini mimi sijafa, na haimaanishi kwakuwa sijafa, basi ukimwi haujaua.