Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Stupid stupid " voice"Mchafue wewe km unaumia sana anavyosifiwa. Wewe nimekuona huna akili baada ya kusema mpaka waosha magari wakatajirika! Roho hii ya kichawi ya kuumia mwenzio akitajirika umeitoa wapi?
Kweli kabisa,Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri watanzania?...
Utajiri maana yake sio ufisadi wa mali za umma!Yaani mtu anasema ni ubaya watu kutajirika? Kwa hiyo furaha yake ni kuona watu wakiwa masikini! Nchi hii wachawi ( roho mbaya) wako wengi sana
Sijui kwakweli. Labda yule kikongwe wa Cuba. Anajidai kuongea kama juliusHivi nyie chato clan mlitokaje kwani baada kifo cha jiwe? Nani mliyetaka awe Rais?
Mchafue wewe km unaumia sana anavyosifiwa. Wewe nimekuona huna akili baada ya kusema mpaka waosha magari wakatajirika! Roho hii ya kichawi ya kuumia mwenzio akitajirika umeitoa wapi?
Bwashee punguza jaziba, utajiri unaoongelwa hapa ni wa pesa halali, utajiri wa kufisadi na kuuza unga huku ukiharibu nguvukazi ya taifa huo siyo utajiri halali. Hakuna mtu anayechukia watu kutajirika, ila katajirikie ndiko kanaleta ukakasi.Yaani mtu anasema ni ubaya watu kutajirika? Kwa hiyo furaha yake ni kuona watu wakiwa masikini! Nchi hii wachawi ( roho mbaya) wako wengi sana
JK hajawahi haribu popote na hata kesho akigombea hakuna kima wa kumshinda kuanzia CCM Hadi upinzani.Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? ...
Yaani unaumia waosha magari kutajirika?Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? ...