Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma.
Nani amesahau Salva Rweyemamu alivyopata ulaji kwa kutumika kutapeli Watanzanzia?
Leo vyombo vya habari vyote vimepamba uzuri wa marehemu Membe. Ila mitaani Watanzania wanajua sio kiuhalisia. Membe yupo na kundi baya linalowaumiza na kuwarudisha nyuma Watanzania.