Ule ulikuwa ni Uchafuzi Mkuu.ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Ule wa 2020 ulikuwa uchafuziSina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Masikini Prince Kunta, Tanzania mambo ni gizani gizani tu. Umewasahau wasiojulikana, umesahu utekaji, umesahau maiti kuokotwa kwenye viroba...pole sana ndugu yangu!Kenya mpaka wamefikia hapo walichapana na damu ikamwagika, naomba sisi tusipitie njia kama hiyo ila kuna mijitu inatulazimisha kufika uko kwa wizi wao wa kura
Mkuu, chaguzi za 2019 & 2020 chini ya wachafuzi wa CCM, upepo ulivuma na kuziacha nyeti za kuku hadharani bila kificho.Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na dunia nzima , bila kusubiri ruhusa ya wenye mtindio wa ubongo!
Lakini toka lini nyani akaona kundule? CCM haijawahi kuwa na aibu hata mara moja. Hebu tazama viongozi tuliowahi kusukumiziwa na CCM!Mkuu, chaguzi za 2019 & 2020 chini ya wachafuzi wa CCM, upepo ulivuma na kuziacha nyeti za kuku hadharani bila kificho.
Hivyo ndio tunataka hapa Nchini kwetu Tanzania.Tanzania kura huhesabiwa kwa siri gizani. Kenya zinahesabiwa hadharani kwenye mwanga!