dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
Tunajivunia nchi yetu Tanzania Sana Ila kuna mambo itapaswa kujifunza Kwa wenzetu.Jivunie nchi yako. Heshima ya Tanzania ni kubwa mno. Sitaki kujadili nchi yoyote jirani au nyingine duniani, ila tambua Tanzania ndiyo yakuigwa.[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna mambo wenzetu wanajifunza kwetu ila Hili la uchaguzi huru na haki tunapaswa kujifunza Kwa nchi za wenzetu ili siku moja tuwe na uchaguzi huru na haki Kwa uhalisia.
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app