Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..

Cheap mind huwa mnakimbilia hapo,subirini 2025 Samia awaonyeshe maana ya kuwa kiongozi bila udikteta Wala mbwbwe zile za flyover.
Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!
 
Uchaguzi wa Kenya umenifanya niione tz kuwa ni ya hovyo,nimejidharau sana

Huu uchaguzi umenifanya niione Tanzania kuwa ni nchi ya hovyo sana

Imenifanya nione hii nchi sisi ni malofa tu

Imenifanya nione kabisa kuwa sisi sisi lolote mbele ya Wakenya yaani nimejidharau

Kenya wametuacha mbali sana, sasa ndo nimeamini hii nchi ilishaachwa mbali yaani tupo tupo tu

Kweli Maccm mmeharibu nchi yetu

Sijivunii kuwa mtanzania najuta sana kweli sisi ni wa hovyo
 
Ukweli ni kwamba Tz bado tunahitaji dikteta mzalendo na mpenda maendeleo atusukume kwa nguvu upande wa uchapa kazi na maendeleo!
Kuwa na kiongozi dikteta mzalendo na mpenda maendeleo siyo jambo la kulifurahia. Hakuna kitu kibaya kama mtu anakuongoza vibaya halafu hakuruhusu kutoa maoni yako. Ni mwendo wa kutii tu, bila kutumia akili( mawazo sahihi ni ya yule mwenye cheo). Kama huna cheo, basi wewe huna mawazo sahihi ( hapo utakuwa umekufa huku unaishi).
UHURU WA KUTOA MAONI NI MUHIMU SANA, NA VYOMBO VYA KUFANYA MAAMUZI VIWE HURU( Na vioneshe kuwa viko huru, kama ilivyo KENYA kwa miaka 5 ya hivi karibuni).
 
Come 2025,tutakuwa tumewapita mbali Sana kwenye masuala ya welfare..

Samia ni Suluhi ya changamoto za Tanzania.
usiwaamini masisiemu linapofika suala la uchaguzi, huwa wanakuwa na agenda moja ya kuhakikisha mgombea wao anashinda kwa namna yoyote ile ikibidi hata kumwaga damu.

wanabadilika kutoka kuwa binadamu wenye utu na kuwa wanyama.

subiri hiyo 2025, hutaamini kile utakachoshudia kutoka kwa masisiemu na mgombea wao. tuombe uhai na uzima, muda utaongea.
 
Lile nduli lililokufa ndio liliharibu demokrasia yetu. Wachomaji huko jehanamu waongeze kuni
Wewe hutokufa,,Utabaki duniani milele ulinde dunia.
Kama unaona waliokufa ni wajinga.
 
mkuu afadhali umajijua wewe ni lofa,usimuingize hata mdogo wako kwenye ulofa huo.

hawa watu mpaka kuuana kisa uchaguzi,huo sio ujanja ni matatizo waliyo nayo.
 
Uchaguzi wa Tanzania ni hopelessness, ukisimamiwa na low iq
JamiiForums1140732688.jpg
 
Ila hadi leo bado kuna watu wanasimama na kusema eti 2020 kulikuwa na uchaguzi na wameshinda kwa kishindo kwa asilimia 99 nchi nzima, Na maeneo mengine wamepita bila kupigwa?",
akiwemo Kikwete
 
Sasa
Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!
Bara bara ya njia nane inamsaidia nini Mwananchi wa Nyakato au Mtwara??

Fly over ya kilomita moja hapo Ubungo inamsaidi nini mwananchi wa Ukerew au haya wa Msata?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom