mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!Dikteta zama hizi ataharibu kama ndugu yenu yule mliyemzika Chato..
Cheap mind huwa mnakimbilia hapo,subirini 2025 Samia awaonyeshe maana ya kuwa kiongozi bila udikteta Wala mbwbwe zile za flyover.