google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Ccm wakichutama uniite mbwa niko pale nakusubiriaSina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na dunia nzima , bila kusubiri ruhusa ya wenye mtindio wa ubongo!