Wananchi ni reflection ya viongozi wao.Basi angalau tuwe na ujasiri wa kukiri hii nchi si ya kidemokrasia. Mbona zipo nchi nyingi tu zina katiba isiyoruhusu mawazo mbadala?
Tatizo la Tanzania ni unafiki unaorutubishwa na ujinga. Mtu unaingia madarakani kwa nguvu ya Katiba na unaapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea.
Unaapa leo, kesho unaanza kusigina huku wananchi wako kimya wanakuangalia tu. What is wrong with us Tanzanians? Tunategemea nini?
Hayo yote ni liability na white elephant projects..Uharibifu aliotufanyia wa kuanza ujenzi wa reli standard gauge (SGR), na kutujengea bwawa la mwl Nyerere la kufua umeme, kutujengea barabara ya njia 8 (Kimara-Kibaha), Bus stand ya kimataifa pale ubungo, Fly overs kibao huo ni uharibifu mzuri sana!! Tungetamani aendelee kufanya uharibifu huo lakini muumba wake akampenda zaidi na kumchukua!! Tutamuenzi daima kwa "uharibifu" huo!!
Tatizo chama sio mali ya Rais ni mali ya Wanaccm so wao ndio wataamua uelekeo wao.Rais Samia ndani ya moyo wake amebeba nia (dhamira) njema kutafuta suluhisho la mkwamo wa demokrasia hapa nchini kwetu.
Lkn linapokuja suala la kuitekeleza hiyo nia njema (kuwa na katiba bora) atakumbana na vizingiti toka kwa wanaccm wenzake wanaonufaika na uozo wa mifumo (katiba bora) iliyopo.
Na mimi nasema hivi...tatizo nchi si mali ya CCM ni ya Watanzania so wao ndio wataamua uelekeo wao. Yaani watu wapumbavu kama nyie mliojaa unafiki, hamjui mnakoipeleka hii nchi yetu!Tatizo chama sio mali ya Rais ni mali ya Wanaccm so wao ndio wataamua uelekeo wao.
Sawa ila aliyeshika hatamu ni nani? Hao Kenya hawakupata Katiba mezani,kilinuka.Na mimi nasema hivi...tatizo nchi si mali ya CCM ni ya Watanzania so wao ndio wataamua uelekeo wao. Yaani watu wapumbavu kama nyie mliojaa unafiki, hamjui mnakoipeleka hii nchi yetu!
The Sunk Cost Fallacy, naomba nikuulize maswali kadhaa...
The Sunk Cost Fallacy, kabla hujajibu maswali yangu naomba nikusaidie kidogo...
- Je unajua Magufuli angekua hai hadi hii leo, makamu wake angeendelea kuwa huyu huyu Rais wa sasa?
- Je unajua kuwa Kiongozi Mkuu wetu wa sasa hakupigiwa kura na Watanzania kuwa Rasi wao!
- Je baada ya kifo cha Magufuli ilikuwakuwaje hadi aliyekuwa Makamu wa Rais akawa Rais?
Tanzania tuna kitu kinaitwa Katiba...nguvu ya Katiba ndiyo ilimwezesha kuwa Rais.
Swali la nyongeza...kama hii Katiba aliyoapa kuiheshimu, kuitetea na kuilinda kwa makusudi akaamua kuisigina, je tuna tumaini gani huko mbele ya safari?
Hebu kwanza sikiliza hiki kiapo...
Kwa nini hadi leo kazuia mikutano ya vyama vya siasa kinyume na matakwa ya Katiba, je ni kwa sababu hataki wananchi wapate mawazo mbadala?
Kama hili jambo dogo tu kashindwa, huo uchaguzi huru ambao unaweza kumuondoa madarakani atauruhusu? Naomba tuwe wa kweli, tuache unafiki.
Wachutame wanaccm tuSina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
hili fala siku moja nilikutananalo super market mlimani city, limevaa kofia kubwa la ki-cowboy,makobasi na kikaptula cha kaki. ilikuwa ni baada ya mungu wao jiwe kufa.
Hivi unayo habari hapa nchini kwetu kumewahi kunuka hadi baadhi ya Watanzania wakawa wakimbizi nchi ya jirani?Sawa ila aliyeshika hatamu ni nani? Hao Kenya hawakupata Katiba mezani,kilinuka.
Matokeo ya Kirinyaga yamethibitishwa na washindi wa nafasi mbali mbali wametangazwa ila bado tu ya Urais.Habari za Kirinyaga hazitakufurahisha. Returning officer mpaka Sasa hajatangaza matokeo. Polisi wameingilia kati. Na mbunge mteule kampiga risasi bodyguard wa mpinzani wake huko Kakamega. Ngoja niendelee kuchutuma
Naelekea kuchoka kuchutama, Mkuu. Reuters wananilazimisha nitoke mafichoni.Matokeo ya Kirinyaga yamethibitishwa na washindi wa nafasi mbali mbali wametangazwa ila bado tu ya Urais.
Sasa nakuomba uchutame, hakuna cha ajabu kwa kilichotokea Kirinyaga, hiyo ni kasoro ndogo na kwa haraka ilipata ufumbuzi.
Mchuano mkali kama huu tunaoushuhudia kati ya Raila na Ruto huko Kenya, kama ungetokea hapa kwetu, sijui!
Karani umepewa kishikwambi?Ndio unajua leo kama wewe ni takataka
Always Kenyan people were very serious for everything they are doing hawafanyi usanii kwenye mambo ya msingi kama tulivyozoea kuona huku kwetu.Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
Ya Urais yametangazwa wajumbe wanne wa tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya wamekataa kuwajibika kwa matokeo hayo. Yaani wamepinga Ruto kutangaza mshindi.Matokeo ya Kirinyaga yamethibitishwa na washindi wa nafasi mbali mbali wametangazwa ila bado tu ya Urais.
Sisi watz wengi ni wajinga hatujitambui kama wako mbali na wanajitambua.sisi tunachezewa tu na maccm.we are really foolish tuwapige chini ccm ili akili ziwasogee na warudi kijiweniSina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
Kenya ahamie akafanye nn ndo akili zetu watz zinapoishiaHamia Kenya
Jivunie nchi yako. Heshima ya Tanzania ni kubwa mno. Sitaki kujadili nchi yoyote jirani au nyingine duniani, ila tambua Tanzania ndiyo yakuigwa.πππSina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli.
Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame.
Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na kushuhudiwa na Dunia nzima, bila kusubiri ruhusa.
Eti siri katika kuhesabu kura, really? Kura zikishapigwa kuna siri gani tena? Si ni kutangaza tu matokeo? Huu ujinga aliuanzisha nani hapa Tanzania?
Salaam zetu kutoka Twitter
View attachment 2320157
Kwa kweli tumevuliwa nguo...
Kenya mpaka wamefikia hapo walichapana na damu ikamwagika, naomba sisi tusipitie njia kama hiyo ila kuna mijitu inatulazimisha kufika uko kwa wizi wao wa kura